UCHAMBUZI SIMBA VS YANGA

UCHAMBUZI SIMBA VS YANGA

CARDLESS

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
7,840
Reaction score
15,918
Awali ya yote nianze kwa kuwasalimu wanajamvi... Mara baada ya salamu niende moja kwa moja ktk mada lengwa..
Leo kutapigwa mechi moja ya nguvu sana kati ya watani wa jadi.. hivyo basi ninaweka uchambuzi huu katika idara kuu 3.. yaan ulinzi, kiungo na ushambuliaji..
1. IDARA YA ULINZI..
Mechi hii itakuwa tamu sana katika idara hii.. tukianza kwa upande wa simba.. wao wana kipa bora na imara sana.. Anajituma anajua kupanga beki zake na kikubwa zaidi anaweza kubadili matokeo ikitokea kuna one againt one.. Na kwa upande wa beki za simba kuna miamba sana KAPOMBE, NYONI, M Husein n.k hapa itafanya kazi ya kuwafunga iwe ngumu kidogo... kutokana na kasi yao na kupanda kwao kutafuta matokeo kidogo kutatokea udhaifu utakaoigharimu timu hii leo...
Viungo.. simba imesheheni viungo na hili halina ubishi.. wazoefu wenye nguvu, akili na uamuzi.. Hapa akina mkude watatawala dimba bila shida yoyote.. tatizo la hapa kwenye kiungo ni Kadi naona wazi upande wa simba itatokea kadi nyekundu na hii ni kutokana na upande wa yanga kuna watu wa kulialia sana na kuonekana kama wamechezewa rafu...
Eneo la ushambulia.. hahahah hapa mabeki wa yanga lazima walale na viatu.. ndio watalala na viatu.. Kuna washambuliaje wanne katika game hii.. KICHUYA, KAGERE M14, OKWI na SALAMBA.. wote ni wajanja sana hawa kitakachowaumiza ni nani aibebe simba katika game hii muhimu kwao.. na wakijua wazi atayewafunga yanga basi ndio atakuwa KIPENZI CHA MASHABIKI....
UPANDE WA YANGA...
ULINZI. hapa kuna Kakolanya.. huyu sio mzoefu sana na huwa anafanya makosa mengi awapo langoni.. Udhaifu wake utapelekea beki za yanga kupata taabu saana..
Mabeki wa yanga leo watakuwa DANTE, GADIEL YONDANI nk.. hawa wote si watulivu sana na huwa wanacheza sana rafu hasa karibu na eneo la box kubwa.. Watapata taabu sana..
VIUNGO.. Tshishimbi, FEISAL na Ninja. Hapa naona watamezwa na viungo wa simba.. Lkn watajitahidi kwa maana kuna washambuliaji wa yanga wasumbufu hivyo kubalance mchezo..
WASHAMBULIAJI..
Makambo, Ajibu, Tambwe, Ngasa, Kaseke.. mechi itakuwa tamu hapa.. manula ataonekana sana..
KWA UJUMLA GAME ITAKUWA BALANCED...
MATOKEO Kutokana na aina ya Uchezaji na presha ya hii game.. Simba ndio wenye presha kubwa katika hii game ikichagizwa na gharama ya kikosi chao hivyo kupelekea game kuwa na mihemko sana.. Simba kama mwenyeji wa hii mechi ANAPOTEZA HII GAME AU SARE..
MATOKEO RASMI NABASHIRI NI SIMBA 1-2 YANGA...
Ni kwa nilivyoona mimi...
 
Unaweza kusema kuna mpira wa maana unaochezwaga kumbe ni upuuzi mtupu....maneno kibao
 
Unajua kamati ya ufundi ya Simba tumefanya Nini?
 
Wamatopeni kazini, nimesoma paragraph ya kwanza tu nikajua wewe ni chura
 
Ndio nini sasa kuandika Majina ya Watu kwa herufi kubwa kwenye Sentensi huu ni Uchapunda sio Uchambuzi!
Young Africans Daima Mbele Nyuma Mwiko.🌕
 
Kashabiki ka Yanga haka! Hakika kamekuja kijanja kweli,, mwanzoni nikafikri ni kashabiki ka Simba kumbe hakuna bwana!! Ila game ilikuwa jana kule EPL kati ya Chelsea na Liverpool, huku kwingine utani tu!!
 
Kwahiyo kuandika simba 1 yanga 2, bas sio mchambuz. Tusubir matokeo
 
Back
Top Bottom