Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
MOVIE BADO NGUMU SANA
SIMBA
SIMBA hawezi kunyimwa point tatu Kwa sababu hakuenda uwanjani Kwa barua ya bodi ya ligi iliyoghairisha mechi.
Endapo utampa Yanga point 3 Basi elewa Simba atakushtaki kwasababu hakuingia uwanjani kwa Agizo la barua ya Bodi iliyotoka mchana.
YANGA
Yanga anadai point 3 mana kanuni ya kughairisha mechi iliyotumika sio. Hakuna kifungu cha kanuni cha kughairisha mechi kwa kuizuia timu mgeni kufanya mazoezi. Pili huwezi kughairisha mechi masaa 3 kabla ya mchezo Sheria ni 48. Vinginevyo kuwe kumetokea majanga kwenye timu kama ajali au kifoo.
Kwenda Kwa Yanga uwanjani ilikuwa ni kukamilisha taratibu zoote za mchezo ili Wadai walichokidai kwenye tamko lao.
BODI YA LIGI
Hata ikiwa ni kweli YANGA waliwazuia kimakusudi Simba kufanya mazoezi kanuni hazisemi kuwa adhabu ni kughairisha Mechi Bali ilikuwa mechi ichezwe then Kamati ya masaa 72 ikae iwape adhabu Yanga faini iliyo kwenye kanuni.
HAPA KWA YALE MAAMUZI BODI WAMEPUYANGA
ILI MECHI ICHEZWE
Ingekuwa mwenyeji ni Simba angemualika RAIS SAMIA Kuwa mgeni rasmi ingekuwa vigumu Kwa Yanga kutokuja uwanjani. Ila Sasa sio mwenyeji
Kuchezwa Kwa mechi naona kama ni IMPOSSIBLE FUTURE TENSE
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app