Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,713
- 3,559
Hapa ndio bodi ya hovyo ya ligi, ilipopuyanga, kanuni ziko wazi.Hata ikiwa ni kweli YANGA waliwazuia kimakusudi Simba kufanya mazoezi kanuni hazisemi kuwa adhabu ni kughairisha Mechi Bali ilikuwa mechi ichezwe then Kamati ya masaa 72 ikae iwape adhabu Yanga faini iliyo kwenye kanuni.