Uchambuzi: Ukiangalia Kwa makini Simba Hana makosa Wala Yanga hawana makosa

Hata ikiwa ni kweli YANGA waliwazuia kimakusudi Simba kufanya mazoezi kanuni hazisemi kuwa adhabu ni kughairisha Mechi Bali ilikuwa mechi ichezwe then Kamati ya masaa 72 ikae iwape adhabu Yanga faini iliyo kwenye kanuni.
Hapa ndio bodi ya hovyo ya ligi, ilipopuyanga, kanuni ziko wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…