Zanzibar 2020 Uchambuzi Urais Zanzibar 2020: Nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad

Zanzibar 2020 Uchambuzi Urais Zanzibar 2020: Nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad

[emoji23][emoji23] sijuwi kwa nini yaan ndo tabu ya kuvuta mbichi.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kake = kaka
Dadangwa, dadenge, dadie/dadae = dada
Mamie, mamengwa = mama [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
  1. Umri wa Nelson Mandela wakati anapewa urais wa Africa Kusini ni 76.
  2. Umri wa Joe Biden (mgombea nchini Marekani - D) hivi sasa ni 77.
Baada ya kuacha mifano hio miwili, nirudie hii hoja ya umri imetokea wapi ? Tuliona vyama vikijiita vya upinzani/CCM-B vikitabiri kifo kwa hoja ya umri. Mwanadamu anaweza ishi hadi miaka 95 - 100, Allah ndie pekee anaejua lini mwanadamu ataondoka.

Tuachane na dhana potofu.
 
Thread iko safi kabisa, Hongera kwa mtoa maada
Kile kituo kabla ya kupinda utasikia shusha hapo kwa Rais, mkapa road
 
Historia nzuri japo sehemu ya Usaliti kwa Aboud Jumbe na role yake kwny kupinga serikal 3 mwaka 1983_84 umeiacha

Huyu Seif tangu awe Cuf kwa miaka zaid ya 20 amekuwa 'aki print' fomu moja tu ya kwake kugombea urais na huenda hiyo tabia akaiambukiza ACT mwaka huu

Seif ni mbinafsi na mtu mwenye kinyongo sana hafai kabisa

Kada wa CCM kwenye ubora wako
 
Ndio maana nineandika nnqchokijua mimi yaliyobakia mutuletee ili tupate kujua zaidi

Chama cha ACT au CUF ilivyokua, mazingira yake ni karibu asilimia 90% Ya uongozi wake upo Unguja, Lakini majority supporters wake wanatoka Pemba, Maalim Seif ndie anaebalance mazingira. bila ya uwepo wake wanaweza kutokea wahuni kule Pemba kama walivyotoka akina Hamad Rashid na wenzake wakakivuruga chama na kuua harakati za kudai haki kwa kipindi kidogo tu. na ndio mana nikasema Maalim Seif anahitajika zaidi sasa hivi kuliko kipindi chengine chochote.
 
Na kama kuna mrithi wa Maalim Seif basi ni Juma Duni Haji,

Itakua ni kumkosea heshima Juma Duni kumsimamisha Mansour kuwania uraisi badala yake.
 
Back
Top Bottom