USAJILI WA SIMBA NI KAMA UJENZI WA MNARA WA BABELI.
Wakati wa ujenzi wa mnara wa Babeli mtu anaagizwa alete tofali yeye anaenda kuleta kilita cha ulanzi. Aliyeagizwa alete mchanga yeye analeta ukuni.
Hali hiyo ndiyo inayopitia simba kwasasa!
Mashabiki wa simba wanahitaji uongozi usajili Top players. Lakini uongozi unaamua kwenda kuokoteza wachezaji wa mafungu mafungu mtaani.
Wakati wenzao yanga wanasajili akina Max, Pacome, Aziz Ki, Yao nk. Huko simba ndiyo kwanza utasikia Kapama, Mwanuke, Kennedy, Saido na wengine ndiyo hao wakuokotezwa huko.
Any way. KILA MTU ATAVUNA ALICHOPANDA.
[emoji2399] Oscar OscarJrr