Uchambuzi: Usajili wa Simba ni kama ujenzi wa mnara wa babeli

Uchambuzi: Usajili wa Simba ni kama ujenzi wa mnara wa babeli

USAJILI WA SIMBA NI KAMA UJENZI WA MNARA WA BABELI.

Wakati wa ujenzi wa mnara wa Babeli mtu anaagizwa alete tofali yeye anaenda kuleta kilita cha ulanzi. Aliyeagizwa alete mchanga yeye analeta ukuni.

Hali hiyo ndiyo inayopitia simba kwasasa!

Mashabiki wa simba wanahitaji uongozi usajili Top players. Lakini uongozi unaamua kwenda kuokoteza wachezaji wa mafungu mafungu mtaani.

Wakati wenzao yanga wanasajili akina Max, Pacome, Aziz Ki, Yao nk. Huko simba ndiyo kwanza utasikia Kapama, Mwanuke, Kennedy, Saido na wengine ndiyo hao wakuokotezwa huko.

Any way. KILA MTU ATAVUNA ALICHOPANDA.

[emoji2399] Oscar OscarJrr
67
 
Kipindi timu Ina muhitaji manzoke ......wao waka mleta Dejan [emoji23]
USAJILI WA SIMBA NI KAMA UJENZI WA MNARA WA BABELI.

Wakati wa ujenzi wa mnara wa Babeli mtu anaagizwa alete tofali yeye anaenda kuleta kilita cha ulanzi. Aliyeagizwa alete mchanga yeye analeta ukuni.

Hali hiyo ndiyo inayopitia simba kwasasa!

Mashabiki wa simba wanahitaji uongozi usajili Top players. Lakini uongozi unaamua kwenda kuokoteza wachezaji wa mafungu mafungu mtaani.

Wakati wenzao yanga wanasajili akina Max, Pacome, Aziz Ki, Yao nk. Huko simba ndiyo kwanza utasikia Kapama, Mwanuke, Kennedy, Saido na wengine ndiyo hao wakuokotezwa huko.

Any way. KILA MTU ATAVUNA ALICHOPANDA.

[emoji2399] Oscar OscarJrr
5074
 
Unadhani Kwann top quality players waliachwa dar....kule kilienda kikosi c??
Alichoahidi katika mashindano ya kombe la Mapinduzi huyo mkulima wa cabbage kutoka Argentina kinapingana na wewe yaani hata kama kilienda kikosi L bado kocha alijipanga kutwaa kombe, basi tuseme Gamondi hana uelewa wala mbinu zozote za soka ila wewe chura una mbinu nyingi, kwa nini hujateuliwa kuwa kocha wa Uto we chura wahed?
 
Attachments

  • 1704732218203.jpg
    1704732218203.jpg
    326.8 KB · Views: 2
Shida washabiki wa Simba nao wakiwa wanashinda shida ukiwaambia ukwel wanakuja juu wakidinywa wanaanza kubweka na mangungu na try again akili za viongoz vinasadifu Akili za washabiki
Ndo hivyo mkuu...hawajui walitendalo
 
Back
Top Bottom