ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 923
- 1,299
Habari za asubuhi wakuu...Ni siku nyingine mpya kabisa na matukio hayakosekani wadau wa soka...twende kwenye mada
Moja.....VAR Sio msaada sahihi wa kuamua kama mpira umevuka mstari wa goli au la!
Pili....Teknolojia sahihi ya kuamua kama mpira umevuka mstari wa goal Inaitwa goal line decision system...hii ndio ilipaswa iwepo ili kuamua kama ule mpira ulivuka mstari wa goal au la.
Tatu.....Kama kulikuwa hakuna goal lin decision system na wakaamua kutumia VAR Nini kilipaswa kufanyika?.....ilibidi watuoneshe kwa kutumia angle ya pembeni au kwa juu kuona kama mpira ulivuka au la,Sasa VAR wao wali rely on front view yaan picha ya mbele to which clearly imewabakiza watu na malalamiko mengi sana.
Maoni Yangu....Wakati goli la Lampard linakataliwa pale pale South waingereza walikuja na mwarobaini wa huu ujinga nao ni goal line decision system.......wanaongalia soka wanaielewa hili......Caf wawekeze kwenye Hii Teknolojia badala ya kutumia VAR sehemu ambayo siyo sahihi.....
Swali langu.......Hivi kwenye mazingira kama haya kisheria nani anayepaswa kupewa benefit of the doubt Yanga waliofanya effort au Mamelodi?
Mwisho.....Mimi ni nani nisiseme lile ni goli halali?....Labda kama ningekuwa pale kwenye VAR room ningeelewa mengi zaid...
Let's come back stronger than Ever......Viva Young Africans