Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Mambumbumbu ya makolo hayawezi kukuelewa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KarmaHuyo refa ni Arajiga wa Mamelody kama alivyo Arajiga wa Yanga anavyowabeba kwenye NBC league na Azam Confederation Cup. Kwa hiyo mmeamini malipo ni hapa hapa duniani. Tuna mechi kibao ambazo Yanga imezulumu ushindi wa timu nyingine kwa sababu tu ya refa kama Arajiga na wengineo wenye mahaba na Yanga. Na mkiendelea kukaza fuvu nitaweka clip zake hapa
akili zako na mavi ya paka mweusi hazina tofauti bila shaka wewe ni binadami usiye na akili timamu ama ulizaliwa ulianza kutoka miguu nionavyoAcheni kelele hizo Mwakarobo Jr,Si mngefunga hizo penati mkathibitusha ubora wenu mnapiga utafukiri mmekunywa pombe aina ya pingu?watu wenyewe hati pass 100 zimewashinda katika mchezo mzima na wastani wa kugusa mpira mara Moja katika Kila dakika halafu seriously eti mnataka muende Semi Final Kweli Kwa bahati nasibu?kazi kushika Bomba tu hata possession ya ya Jumla ya 50% katika mechi mbili ya Dar na Pretoria mlishindwa kufika. msituchoshe na nyuzi zenu za kutetea ujinga Kwa mpira upi mwende semi Final ya CaFCL,toeni huo mwiko Nyuma akili ziwarudie,mkajipange upya nyie Mwakarobo Jnr..Pathetic
Du kweli MANARA alikuwa sawa utopoloni wenye akili ni wawili tu,si Kwa uharo huo pamoja na mwiko Nyuma, Patheticakili zako na mavi ya paka mweusi hazina tofauti bila shaka wewe ni binadami usiye na akili timamu ama ulizaliwa ulianza kutoka miguu nionavyo