Acheni kelele hizo Mwakarobo Jr,Si mngefunga hizo penati mkathibitusha ubora wenu mnapiga utafukiri mmekunywa pombe aina ya pingu?watu wenyewe hati pass 100 zimewashinda katika mchezo mzima na wastani wa kugusa mpira mara Moja katika Kila dakika halafu seriously eti mnataka muende Semi Final Kweli Kwa bahati nasibu?kazi kushika Bomba tu hata possession ya ya Jumla ya 50% katika mechi mbili ya Dar na Pretoria mlishindwa kufika. msituchoshe na nyuzi zenu za kutetea ujinga Kwa mpira upi mwende semi Final ya CaFCL,toeni huo mwiko Nyuma akili ziwarudie,mkajipange upya nyie Mwakarobo Jnr..Pathetic