amesema na boda boda watafute kazi ya kufanya
Hivyo sivyo kiongozi wa ngazi ya juu anapaswa kuongea! Sasa unadhani hao mgambo wanajipa hiyo kazi ama viongozi wa serikali ndio wanaomtuma???
Magufuli hafai kabisa kuwa kiongozi wa juu! Nimekumbuka namna alivyokuwa anafanya bomoabomoa nyumba za walalahoi wakati serikali yenyewe ndio iliyowaruhusu kujenga!
Nimemkumbuka Ben Membe!
amesema wapi?
kwaio unataka misosi ya mama ntilie imwagwe ?
mgambo ipo kwa mujibu wa sheria za nchi.. Magufuli hata sheria za nchi hazijui.. Huyu hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa
Mgambo ipo kwa mujibu wa sheria za nchi.. Magufuli hata sheria za nchi hazijui.. huyu hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa
Mgambo ipo kwa mujibu wa sheria za nchi.. Magufuli hata sheria za nchi hazijui.. huyu hafai hata kuwa mwenyekiti wa mtaa
Magufuli ambaye ndani ya team yake ya kampeni anaitwa bwana haambiliki au Mr haambiliki wala kushaurika ameamua kupasua jipu na amekumbushia pia suala la mikataba ya mererani Arusha hapo ndio patamu wanaanza kugeukana wenyewe na hawaelewani lugha