Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

makomeo kichwa hupataga moto ukizingatia ile timu ya watu 32 wameishapotezana!
 
Ni comedian fulani, hapishani na mwimbaji mmoja aliyeahidi wanafunzi kufanyia practical mwezini.
 
kuna vipara aina nyingi sana kipara cha type kama ya magufuli watu kama hawa huwa na mambo mengi sana ya kipuuzi na pia wanajuwa kudanganya sana ! uwongo wao huwa unanguvu sana akikudanganya hupinduwi labda uwe unajuwa anacho kudanganyia kama mlikuwa hamjuwi kuwait siyo nchi mngekubali !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hata Wa Kumtoa Babu Seya Jela,kumfufua Balali Naye IQ Yake Vipi?Anayesema Serikali Ya Ccm Haijafanya Chochote Wakati Alikuwa Waziri Mkuu Je?Anayesema Ccm Watoe Hirizi Zao Ikulu Wakati Miaka Yote Alisaidiana Nao Kuziweka Naye Huyu Vipi?

Wamebadilika!
 
kuna vipara aina nyingi sana kipara cha type kama ya magufuli watu kama hawa huwa na mambo mengi sana ya kipuuzi na pia wanajuwa kudanganya sana ! uwongo wao huwa unanguvu sana akikudanganya hupinduwi labda uwe unajuwa anacho kudanganyia kama mlikuwa hamjuwi kuwait siyo nchi mngekubali !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

i agree with you...
 
Atatengeneza RELI zenye kiwango cha LAMI.... Seriously??? Hahahaa

Yule Dr. wa CCM, ktk kipindi cha ITV cha Alfred Masako... alinishangaza sana..!!

Alisema watatengeneza RELI KWA KIWANGO CHA LAMI...!!!

Alfred Masako, akarudi, Dr. unasema..?

Akasema tena, CCM ikirudi madarakani..TUTATENGENEZA RELI za kisasa kwa kiwango cha LAMI...😨😨😨😨

omg..!! Niliishiwa nguvu... ku chanji channel haraka sana..!!
 
Kweli kabisaaa

Mm nadhani hayuko sawa... kuna tatizo
..

Sijui kama CCM wanampa mambo ya kuongea au yeye anaongea yake tu..

Naona, hawampi wasaidizi wa kumpangia aongee nini... sbb BULEMBO ndio msaidizi wake, darasa la 7, ni aibu..
sbb Bulembo is very primitive..

Magufuli ni PhD holder, but hajui SIASA... IQ yake haiko sawa..sasa CCM wamemwacha tu..

Kuna tatizo mahali..!!
 
Wenye uelewa watanielewa mara moja..!!

Magufuli hayuko sawa... IQ yake ni ndogo sana... i proved this...!!! Anasema asiyoyajua, anayajua asiyo yasema..!!

IQ ya MAGUFULI, is ABNORMAL..!!!!

1: Nitawafunga wafisadi wote... haaaa... so hata boss wake wa sasa, Mkapa, Chenge, Ngeleja, Tibaijuka, MAGUFULI, etc... ataweza..? pure joke.. Mbona sasa anawanadi mafisadi hao akina Chenge, Tibaijuka, Ngeleja..? Hajui anasema nn na anatenda nn, so ATAJIFUNGA NA YEYE..? huyo ndio Magufuli...IQ yake is ABNORMAL..

2: Nitajenga kila kijiji ZAHANATI... wee acha uongo..huwezi hili..?

3: Nitatoa kila kijiji mil 50... IQ ya Magufuli is ABNORMAL... u can't do this, let's bet..!!!

4: Kila MKOA nitajenga HOSPITAL YA RUFAA KUBWA KUBWA... plz, Magufuli plz... stop this, huwezi..!!!

5: Kila mwalimu nitampa laptop, kuboresha elimu, UR OFF TRACK...laptop haziboreshi elimu... omg..!!!

6: Tanzania ya MAGUFULI itakuwa ya VIWANDA, kila kona ya nchi... JE HAJUI CCM ndio IMEUA VIWANDA..? Hata yeye anashangaa hilo... he is not serious...!!

7: Dawa kukosekana hospitalini, na kupatikana ktk pharmacies nearby hospitals, clinics, ANASHANGAA SANAA, as if hagombei CCM...!!

8: Anasema, ataifumua CCM na SERIKALI... kwa ukali kabisa... sasa hapa ndio kichekesho, so ATAJIFUMUA NA YEYE..? He is core part of CCM.. so anaishtaki CCM na yeye kwa WANANCHI...he is ABNORMAL..!!

9: Atafuta misamaha yote ya WABUNGE... lol..!! Hii ina tija kweli..? Au anaongea tu kupata kura..?

10: Wanafunzi wanakaa chini, ANASHANGAA, anasema atakufa na mtu...miti imejaa, kwani for 54 yrs ni CHAMA GANI KILIKUWA MADARAKANI..?
Is he speaking as an OUTSIDER...?

11: Anasema ANACHUKIA SANA UKABILA, hapo hapo akiwa Chato, dakika chache tu AKAANZA KUONGEA KILUGHAAAAAA WEEE, akarudia tenaa na tenaaa anaomba kura... huo sio UKABILAAAAA... Is he Ok..?

IQ ya Magufuli is ABNORMAL...!!

12: Saddam wa Libya mnamjua..? watu eeehh... sorry Saddam wa kulee Kuwait na Gadaffi wa Iraq walitaka mabadiliko, mnaona kilitokea nn, ACHENI MSIFANYE MABADILIKO MTAJUTA.... dakika chache tena hapo hapo... NAFAHAMU WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO... MM NDIO NITALETA MABADILIKO... hayaaaaa mamaaaaa... totally confused, hayuko sawa.. si umesema wasifanye MABADILIKO...?😨😨😠😠 mmh.. omg..!!

13: M4C ni MAGUFULI for CHANGE....👇👇 Sasa hapa ndio nikamaliza ANALYSIS YANGU...and PROOF beyond any doubts...kuwa IQ ya MAGUFULI is ABNORMAL...!!!

Ooooh dear.. noo..noo.. something, somewhere, is wrong Mr. Magufuli...!!

Ni mtu wa kukurupuka na HASIRA sana, these are signs of the WEAKEST manager not even to be called a LEADER..!!

Kwa MFUMO wa CCM, Magufuli si chochote, si lolote, HAWEZI FANYA CHOCHOTE...hata yeye anajua hilo wazi wazi, basi tu anajikaza KISABUNI...!!!

In short, ukimsikiliza anachoongea, HUWEZI muamini kabisa ukilingalisha na hali HALISI iliyopo...!!!

IQ ya Magufuli is ABNORMAL...!!! I proved this...!!!

IQ yako ni sub-zero, pure shitt umeandika. You really expect to convince people to join your dancing with this piece of utter garbage? Poor you! and the worst thing is you reflect the rest of your crew's level of intelligence.
 
1443015844679.jpg
 
Duh...naiogopa sheria na mm ningeweka analysis yangu

Sheria kwa mambo ya kweli haina tatizo...

Hapo kuna UONGO wowote..? hakuna..yote kasema yeye Magufuli...

CCM haijampa wasaidizi wazuri i hope wa kumpangia aseme nini, na wapi..!

Bulembo hafai, anazidi mpoteza Magufuli... lazima tuseme ukweli..!!
 
yule mwingine aki test hata moja tu nampa kura yangu
 
Attachments

  • 1443015851458.jpg
    1443015851458.jpg
    38.4 KB · Views: 70
Back
Top Bottom