Kwa muda huu ninachokiona Mimi kwenye kampeni za CCM ni kutukana majukwaani, kudanganya, kuhonga na hata kupiga!
Kuwadanganya watu kua tutagawa mil 50 kwa kijiji ni uongo na halitekelezeki, kuwadanganya watu kua tutajenga fly overs Mwanza ni uongo maana hata Dar ni wimbo wa miaka nenda rudi, kuwaita wanamama mtaani na kuwagawia pesa ni hongo, kuanza kuwalipa Walimu madai yao wakati huu wa Uchaguzi ni hadaa, Kukusanya wasanii wote nchini na kutembea nao ni kuwahadaa wananchi.
Pesa tunakula ila kura ni kwa Lowassa!