Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Magufuli ni kiboko

ni kiboko kweli anafaa kuish majini na sio kuwa rais, et anaahidi kiwanda cha nanasi wakati nanasi zenyewe haba, kiwanda cha kusindika nyama na ng'ombe atawatoa wapi au tutasindika nyama za tembo na twiga, nch znazosindika nyama wanaufugaji wa wanyama kwa lunch, anaropoka tu huyo castle lager wenu.
 
Rais John Pombe Magufuli katika Uongozi wake anatarajia kuwabana wale wote wanaohusika na kurudisha nyuma matokeo makubwa ya Serikali ikiwemo watendaji wabovu. Rais anatarajia kuwa na kitengo maalumu kwa ajili ya kudhibiti mianya ya rushwa na udanganyifu katika manunuzi serikalini.

Yuko sahihi
Atawanyoosha mafisadi kama lowasa

Lowasa out!!!
 
Kwa muda huu ninachokiona Mimi kwenye kampeni za CCM ni kutukana majukwaani, kudanganya, kuhonga na hata kupiga!

Kuwadanganya watu kua tutagawa mil 50 kwa kijiji ni uongo na halitekelezeki, kuwadanganya watu kua tutajenga fly overs Mwanza ni uongo maana hata Dar ni wimbo wa miaka nenda rudi, kuwaita wanamama mtaani na kuwagawia pesa ni hongo, kuanza kuwalipa Walimu madai yao wakati huu wa Uchaguzi ni hadaa, Kukusanya wasanii wote nchini na kutembea nao ni kuwahadaa wananchi.

Pesa tunakula ila kura ni kwa Lowassa!
 
Kweli nimeamin maana ya wimbo wa CCM ni ilele.

Hivi ahadi za Magufuli kila sehemu zitatekeleza.

Alipita kwetu akasema anataka wilaya yetu iwe kama gwanzuu china, jana Mwanza geniva ya Africa.

Huko kwenu Magufuli ameahidi nin? ila Magufuli kwa ahadi duh.
 
Kwetu katuahidi uongozi bora na umoja wa kitaifa. Hata timu aliyokujanayo ilionyesha hana ukanda sio kama yule mwingine
 
Kwetu katuahidi kuboresha huduma za maji, afya, elimu na kupambana na rushwa.
 
Kwetu kaacha sumu ya ukanda kwa kusema mchague jirani yako, ndiye ataleta maendeleo ya kweli sasa najiuliza inamaana kura za kaskazin magufuli hazitaki? Je mbeya na kwingineko hatowapa maendeleo ya kweli ?
 
Kwetu alituhaidi atatokea kwenye mdahalo lkn hapa natazama walaa simuon.ndio ujue ahadi zakee kamwe hazitatelezekaa amken wa tz mpenii lowasaaa kura zenuu
 
Back
Top Bottom