Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Magufuli ameapa kuwa mara baada ya kuapishwa atarudisha ranchi za taifa zilizoporwa na LOwassa pamoja na sumaye zitakuwa mali ya serikali kwa kuwa zilichukuliwa kifisadi bila kufata utaratibu,sheria pamoja na kanuni

Jee familia ya Kikwete ataigusa?
 
Lazima azirudishe na ndio maana kasema atarudi monduli kuchunga ng'ombe.
Asante sana magufuli
 
home shopping centa wameshatimua.....yaan JK hapa lazma akome iwe kwa lowassa au magufuli
 
Ni dalili za kuchanganyikiwa, mara nyingi neno 'watanikoma eeehh' hutumiwa na akinamama mashoga wanaosutana vibalazani.
 
Ni dalili za kuchanganyikiwa, mara nyingi neno 'watanikoma eeehh' hutumiwa na akinamama mashoga wanaosutana vibalazani.

Naona Magufuli hayuko sawa...!!
Something is wrong with him..!!! Hivi ana PhD ya kweli..?
 
Anaongea asijue amewekwa hapo na watu.
Watamtoa kesho yake.
 
anasema "haki ya Mungu naongea ukweriiii,
msema kweri ni mpenzi wa Mungu..
Utasikia tena, haya haya.."huu ni muda wa kupiga push up, madiwani tujipange tupige push up
mwisho anaanza kuimba "arimserema.. mserema.. mserema..

daah! yani huyu mgombea wa ccm ni comedy tupuu..
 
siku zote ndani ya nyumba , paka akiingia tu panya wote huwa wanaondoka eneo hilo, na ndo kinachotokea ccm baada ya magufuli kuchaguliwa
 
huyu akipata ukuu wa nchi waliomuweka watashangaa
 
bado najiuliza kwa nini hii mada iko hapa?

wakati za ufisadi wa makufuli zinaondolewa?
 
Back
Top Bottom