Magufuli ameapa kuwa mara baada ya kuapishwa atarudisha ranchi za taifa zilizoporwa na LOwassa pamoja na sumaye zitakuwa mali ya serikali kwa kuwa zilichukuliwa kifisadi bila kufata utaratibu,sheria pamoja na kanuni
Jee familia ya Kikwete ataigusa?
Clip ya nini kwani ni mara ya kwanza kusema hivyo, msikilize hata Leo atarudia.Weka clip tuone
Ni dalili za kuchanganyikiwa, mara nyingi neno 'watanikoma eeehh' hutumiwa na akinamama mashoga wanaosutana vibalazani.
Jee familia ya Kikwete ataigusa?
Nayo imechukua Ranchi gani?