Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Kama hasemayo anayamaanisha toka rohoni mwake basi angalau ameanza kutuonyesha yupo pande gani na msimamo wake kwenye maswala ya msingi..

Ushauri turufu akazanie hapohapo ilingali aongeze kura kwa sasa hali yake ni mbaya upande wa ushawishi akiwa kazungukwa na mabox( kipara,bulembo7 n comp) na wezi(chemba)..
 
Huyo Magufuli hana tofauti na hao waliotoka madarakani.

Na hana uwezo wa kuwachukulia hatua.
 
Watu tumeamka ahadi zao za uongo hatutaki#team lowassa

Juzi magufuli amekataa michango ya wafanya biashar
Ili asiwe na deni la kulipa fadhira

Lakin edo lowasa mzee wa stand ya chato
Ameitisha harambee kabisa
Mzee huyu mpigaji sana
Hafai kuwa rais
 
CCM wametutenda vibaya Sana ndio maana wanatuambia tumchague Magufuli na tusiichague CCM maana haikubaliki

Jamaa naskia alitabiriwa kuwa 2015 ndiyo mwisho wa dunia akaamua kufanya nchi atakavyo akijua tutakosa wote! mungu atawaumbua sana mwaka huu!
 
Popote Magufuli alipoenda ameahidi mengi mazuri ambayo utekelezaji wake unatia shaka.

Mwenzake Kikwete alituahidi hayo hayo mpaka kesho ni hadithi chini ya chama kile kile.

Naona anaishiwa ahadi mpaka mwisho wa siku atatoa ahadi ya kufufua marehemu..ndio ahadi iliyobaki.
 
hii ya kufufua wafu unamsingizia, Lowassa ndiye aliye ahidi hilo kwenye uzinduzi wa kampeni jangwani ali ahidi kutoa wezi, vibaka, magaidi na kumfufua balali au ulipitwa na hilo
 
Wadau kuna matangazo yanarushwa zaidi na channel ten.Moja ni watu wako nje wanataka huduma huko ofisini jamaa anasoma gazeti na kunywa chai.Mara eti Magufuri akiingia yataisha.
Jingine nila kuchelewa mikopo ya wanafunzi mpaka wanaandamana anatokea mzee na kusema eti Magufuri akiingia mikopo nje nje.
Sasa najiuliza Magufuli huyu mwaka 2008-2009 tuligoma UDSM wakati yeye anasoma Phd hapo hapo lakini akufanya lolote angalau wanafunzi tupate mikopo au kuonyesha namna tuweze tatua matatizo yetu.
Sikuwai kumsikia Magufuri akiwatetea wanavyuo ili wapate mikopo iweje leo. Je ajui kua CCM ndo imesababisha haya yote tunayolia nayo.
 
Haikuwa wizara yake, protocal za utendaji kazi.
 
Kuna Msemo wa Wahenga Usemao - KIZURI CHA JIUZA - KIBAYA CHAJITEMBEZA:

Kama Magufuli ni Mzuri Kwanini Chama Kinatumia Nguvu Kubwa Kumtangaza?

Clip Kwenye Tv. Mabango Nchi Nzima Mpaka Wenzao Wanakosa Sehemu Ya Kuweka Mabango Yao! Mama Salma Kikwete Nae Kaacha Kitanda Ikulu Nae Anapiga Kampeni kulikoni?
 
Wadau kuna matangazo yanarushwa zaidi na channel ten.Moja ni watu wako nje wanataka huduma huko ofisini jamaa anasoma gazeti na kunywa chai.Mara eti Magufuri akiingia yataisha.
Jingine nila kuchelewa mikopo ya wanafunzi mpaka wanaandamana anatokea mzee na kusema eti Magufuri akiingia mikopo nje nje.
Sasa najiuliza Magufuli huyu mwaka 2008-2009 tuligoma UDSM wakati yeye anasoma Phd hapo hapo lakini akufanya lolote angalau wanafunzi tupate mikopo au kuonyesha namna tuweze tatua matatizo yetu.
Sikuwai kumsikia Magufuri akiwatetea wanavyuo ili wapate mikopo iweje leo. Je ajui kua CCM ndo imesababisha haya yote tunayolia nayo.

Unasema kwa nafsi yako au umesukumwa? # hapa ni kazi tu.
 
kupiga kampeni ni jambo la kawaida kwani huwezi subiria umekaa halafu upo kimya kufanya vile ni kuruhusu demokrasia japo magufuli ashashinda tiyari
 
ni kweli twasubiria muadilifu aingie ikulu uzembe huu uishe
 
wadau kuna matangazo yanarushwa zaidi na channel ten.moja ni watu wako nje wanataka huduma huko ofisini jamaa anasoma gazeti na kunywa chai.mara eti magufuri akiingia yataisha.
Jingine nila kuchelewa mikopo ya wanafunzi mpaka wanaandamana anatokea mzee na kusema eti magufuri akiingia mikopo nje nje.
Sasa najiuliza magufuli huyu mwaka 2008-2009 tuligoma udsm wakati yeye anasoma phd hapo hapo lakini akufanya lolote angalau wanafunzi tupate mikopo au kuonyesha namna tuweze tatua matatizo yetu.
Sikuwai kumsikia magufuri akiwatetea wanavyuo ili wapate mikopo iweje leo. Je ajui kua ccm ndo imesababisha haya yote tunayolia nayo.

kwani alikua wizara ya elimu??? Au unadhani kila waziri anashughulikia kila kitu kinachotokea ndani ya serikali? Kuna kitu kinaitwa "ministerial responsibilities" kila waziri na wizara yake nje ya vikao vya baraza ila anaweza kushauri wizara yeyote akiwa kwenye vikao vya cabinet.
 
Back
Top Bottom