SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huu kweli mtambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chagua magufuli at your own riskTANZANIA YA MAGUFULI
Hii ndiyo Tanzania mpya ya Dr. John Magufuli
1. Vijiji vyote Tanzania vitakuwa na umeme wa uhakika, Rural Energy Argency (REA) imeshaanza kazi hiyo.-Mijini tu hautoshi kila siku mgao,Pia huu ni mpango wa serikali na unachangiwa na wanachi wenyewe any one can
1. Vijiji vyote Tanzania vitakuwa na umeme wa uhakika, Rural Energy Argency (REA) imeshaanza kazi hiyo.-Mijini tu hautoshi kila siku mgao,Pia huu ni mpango wa serikali na unachangiwa na wanachi wenyewe any one can do
2. Wanawake na vijana watapata mikopo kupitia vikundi vyao. Milioni 50 zitatengwa kufanikisha mikopo hiyo inatolewa ili kupunguza umasikini katika ngazi ya familia-Hii ni pointless,somesha watoto wao,wape watoto wao elimu bora,si kuwarubuni na kufanya umachinga kwa kuuza bidhaa ya kichina.
3. Madereva wote watakuwa na mikataba ya ajira. madereva jiandaeni kusaini mikataba nikiingia ikulu-hapa unataka kusolve nini,kukosa mkataba au kuboresha kipato cha Dereva?Kumbe dereva wa dala dala yangu ataanza kulipwa na serikali?au una maanisha magari yote yatamilikiwa na serikali? Nijuavyo mimi mkataba wa ajira ni kati ya mwajiri na wajiriwa
4. Wanyonge wote watathaminiwa mf: wamachinga na mama nitilie. serikali yangu ya awamu ya tano haitowaonea wanyonge-Du!kumbe leo watu wanaonewa na hakuna kufuata sheria?basi aanze kwa kuwarudishia nyumba zao wale aliowabomolea maana ina onekana sheria hazikufuatwa na watangulizi wake
5. Watumishi wa serikali watapata nyumba za kuishi karibu na vituo vyao vya kazi. Nikiapishwa watendaji wote wa serikali wajiandae kuishi kwenye vituo vyao vya kazi, sivyo waache kazi.Naamini hizi nyumba zitashuka kutoka mbinguni, maana zilizokuwepo zimeshauzwa na Magufuli aliziuza kwa mkono wake mwenyewe
6. Kila kijiji kitakuwa na zahanati, kila kata itakuwa na kituo cha afya, kila wilaya itakuwa na hospitali ya wilaya na kila mkoa utakuwa na hospitali ya rufaa-Kwa maana ya majengo au? otherwise unadanganya
7. Shule zitajaa walimu wa sayansi-Hawa walimu kama hawatashuka toka mbinguni,basi tutawatoa nje,maana kumuuanda mtu mpaka awe mwalimu na shule zijae si kazi ya miaka mitano,unless uniambie kuwa mpaka leo wapo mitaani ila serikali ya ccm imeshindwa kuwapa kazi
8. Miundombinu ya barabara itaimarishwa zaidi na barabara zitapitika majira yote ya mwaka-Du
9. Wafanyakazi wazembe wote watawajibishwa
CHAGUA MAGUFULI MWANA MABADILIKO YA KWELI
Magufuli ndio rais wako kijana
Haya endelea na kiroba
Asubuhi njema
Watanzania wamesha amua! Anajisumbua tu!
Uloi nga mâché68;14238835 said:Ndiyo Watanzania wameshaamua ni Magufuli tu
Unasikitisha kweli... Yaani bado tu haujamuelewa JPM, basi unahitaji tuisheni.... Hapa kazi tu, wengine Tumeshashtuka, rudi kundini hata kimya kimya.Mambo yote anayoyaongea ni anawahadaa wananchi, mathalan kulalamika juu ya ukosefu wa umeme Kwani haelewi mambo ya serikali yake? Asituhadae, kusema ni wakati wa mabadiliko nk nk hii ni mbinu ya kuwachanganya wananchi mawazo na wasielewe ubovu wa ccm.
Viroba tu hivo
Unasikitisha kweli... Yaani bado tu haujamuelewa JPM, basi unahitaji tuisheni.... Hapa kazi tu, wengine Tumeshash<script id="gpt-impl-0.15384682407602668" src="http://partner.googleadservices.com/gpt/pubads_impl_73.js"></script>tuka, rudi kundini hata kimya kimya.
Ha ha ha! Chezea hapa kazi tu, Tumeshamuelewa sana Magufuli, kura atapata za kutosha mpaka kupitiliza kuliko wanavyofikiri, huo ndo ukweli acheni kujitoa fahamu, EL ndo nani.... Ha ha ha ha! acha nicheke mie, yaani kiulaini kabisa ikulu njia nyeupe kwa JPM.
Ushalamba zako dila, khanga, Tshirt, kofia, pakiti ya chumvi na elfu tatu. Lazima uchetuke tu...MOFO..!!!Ha ha ha! Chezea hapa kazi tu, Tumeshamuelewa sana Magufuli, kura atapata za kutosha mpaka kupitiliza kuliko wanavyofikiri, huo ndo ukweli acheni kujitoa fahamu, EL ndo nani.... Ha ha ha ha! acha nicheke mie, yaani kiulaini kabisa ikulu njia nyeupe kwa JPM.
Mambo yote anayoyaongea ni anawahadaa wananchi, mathalan kulalamika juu ya ukosefu wa umeme Kwani haelewi mambo ya serikali yake? Asituhadae, kusema ni wakati wa mabadiliko nk nk hii ni mbinu ya kuwachanganya wananchi mawazo na wasielewe ubovu wa ccm.