Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Hawa majibu yao bungeni wanatumia sentensi maarufu kama ufinyu wa budget sasa sijui pesa zimepatikana lini za kujenga viwanda. Hata maji ya geita yamewashinda miaka kumi tumahaha na matope kama kambale .wakafie mbali tarehe 25.
 
Manene yao ya kila siku, kama vile tutaanzisha mahakama ya kadhi
upuuzi mtupu
hawana uwezo wa kuanzisha viwanda vyovote
 
Vipi Kuhusu SUKITA, Au Mnatafuta Mwekezaji Bado!!!!! Tehe! Tehe! Tehe! CCM Bhana, Kwa Vile Wanaujua UKWELI Kuwa WATANZANIA ELIMU Ndio Tatizo!! Basi Wanatufanya MISUKULE Yao Tu Daima!! Kama Shirika Lao Wenyewe WAMELIUA ( SUKITA) Pale Bonde La Mto Msimbazi Tabata!! Na VIWANDA Na MASHIRIKA Ya Umma Wameviua Vyote Na KUVIUZA Miaka Ya Juzi Tu, BAADA Ya Kuachana Na Ujamaa Na Kufuata Ubepari!! Sasa Kama CCM Imeuza Wao!! Kwa Kuamini Ktk. Sera Za Ubinafsishaji, Soko Huria!! Sasa Hivyo VIWANDA Vikubwa, Vya KATI Na Vidogo, Anavyonadi Magufuli Mikutanoni Kuwa Atavijenga Kila Mkoa, Atajenga Kwa Sera Ipi, Wkt. Sera Ya CCM Ni Ubinafsishaji Ktk Soko Huria!! Na SERIKALI Haijihusishi Na Kuendesha VIWANDA Na MASHIRIKA! Sasa Kama Hao Wawekezaji Si LAZIMA Wajiridhishe Na Mazingira Ya MAENEO Wanayotaka Waende Kuwekeza!!!!?? Kama HAWAKUBALI JE!!! SERIKALI Itajenga Yenyewe Hivyo VIWANDA!!!?? Ndorooobai!!
 
Katika kipindi cha utekelezaji wa Ilani hii ya 2015–2020, Chama Cha
Mapinduzi kitaielekeza Serikali kuweka nguvu kubwa katika kukamilisha
utekelezaji wa Sera ya Maendeleo Endelevu ya Viwanda Awamu ya Tatu
(2010–2020) ambayo malengo yake ni kuiwezesha Sekta ya Viwanda
kuchangia katika kufikia malengo ya maendeleo ya muda mrefu kama
ilivyoanishwa katika Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025. Aidha, Utekelezaji
wa Ilani hii utakuwa ni sehemu ya Utekelezaji wa Mpango wa Pili wa
Maendeleo wa Miaka Mitano (2015/16-2020/21) ambao lengo lake ni
kuendeleza uchumi wa viwanda.
Katika kipindi hicho, utaanza ujenzi wa viwanda mama (basic industries)
na kuimarisha viwanda vilivyopo lengo likiwa ni kuhakikisha kwamba:-
(a) Mchango wa Sekta ya Viwanda katika Pato la Taifa unaongezeka kutoka
asilimia 9.9 mwaka 2013 hadi asilimia 15 ifikapo mwaka 2020;
(b) Sekta ya Viwanda inaongeza ajira kufikia asilimia 40 ya ajira zote ifikapo 2020
kwa kuweka kipaumbele cha kujenga viwanda vinavyotumia malighafi
zinazozalishwa hapa nchini kama vile kilimo, mifugo, uvuvi na maliasili;
Viwanda hivyo ni pamoja na viwanda vya nguo, sabuni, korosho, matunda n.k.
(c) Kuandaa mikakati thabiti ya kuhamasisha sekta binafsi kuanzisha viwanda
vikubwa na vya kati na kuweka utaratibu wa kuvilinda dhidi ya viwanda vya
nje;
(d) Kujenga mazingira rafiki yatakayowezesha kupunguza gharama za uwekezaji
na uendeshaji wa viwanda;
26
(e) Kuanzisha viwanda vya msingi vinavyotumia malighafi ya chuma katika maeneo
ya Liganga na Mchuchuma;
(f) Sekta ya Viwanda inaongeza fursa za masoko hususan yenye upendeleo wa
ushuru wa forodha kama Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumuiya ya Maendeleo
ya Kusini mwa Afrika, Utatu wa COMESA-EAC-SADC na Umoja wa Ulaya, nchi
rafiki kama India, China, Japan na Marekani; na
(g) Kuendeleza kasi ya ujenzi wa viwanda vidogo na vya kati hasa vinavyosindika
mazao.
(h) Kuhakikisha Benki ya Rasilimali (TIB) inapanua wigo wa Dirisha Maalumu ili liweze kutoa huduma zake kwenye maeneo yote nchini ikiwemo Tanzania
Zanzibar.
​

ubongo wako changana na wa mkeo ,ndio uje tena uandike kitu cha maana ,
 
Hapo kwenye umeme tutatumia power bank... ikiisha tunakwenda zetu kenya kuichaji kabla ya kuitumia tena
 
Hivyo vitu kwa nini havikufanyika miaka 50iliyopita hiyo.miujiza itatoka wapi
 
Tujiulize kwa utulivu mkubwa! Katika miaka zaidi ya 54 ya utawala wa CCM je ni ahadi zipi CCM hawajawahi kuwaahidi watanzania? Wametekeleza kwa kiasi gani?

Leo ahadi zipi ni ngeni kwa wananchi?
 
Hkna jipya kwetu hao wametuahid meng tu na hkna utekelezaj,na ndyo maana tunataka mabadiliko
 
Hivi mbona hawa jamaa wanadanganya watanzania eti wanataka kuleta mabadiliko,ni mabadiliko yapi hayo? ili hali kwa miaka zaidi ya 50 wameshindwa kuleta mabadiliko ambayo wananchi wanayataka.
 
Mgombea urais wa CCM, Dr John Pombe Magufuli hadi sasa anauhakika wa kushinda kwa asilimia zaidi ya 90.Magufuli katika kampeni zake amesema katika siku chache za uongozi wake atahakikisha kunatokea mabadiliko makubwa ya kiiutendaji katika mihimili yote ya serikali, ule utendaji wa mazoea kwa baadhi ya watumishi wa umma sasa ni basi. Anahitaji kupata matokeo makubwa na yenye manufaa kwa kila mwananchi. Katika mikutano yake mpaka sasa zaidi ya wanachama 45o,980 kutoka vyama vya upinzani wamepokelewa na kujiunga ccm.
 
Uongo mwingne duh! hyo idada ya wanachama Lak nne na ushee wa upzan kujiunga na ccm umepata wap?
 
Mgombea urais wa CCM, Dr John Pombe Magufuli hadi sasa anauhakika wa kushinda kwa asilimia zaidi ya 90.Magufuli katika kampeni zake amesema katika siku chache za uongozi wake atahakikisha kunatokea mabadiliko makubwa ya kiiutendaji katika mihimili yote ya serikali, ule utendaji wa mazoea kwa baadhi ya watumishi wa umma sasa ni basi. Anahitaji kupata matokeo makubwa na yenye manufaa kwa kila mwananchi. Katika mikutano yake mpaka sasa zaidi ya wanachama 45o,980 kutoka vyama vya upinzani wamepokelewa na kujiunga ccm.

Huyu ndo kura yangu!!! Magufuli
 
Magufuli ndani ya Ikulu
 
Napenda kuwakumbusha WanaCCM, ili tuweze kuwachagua wamtake Magufuli atueleze jinsi alivyozigawa Nyumba zetu Watanzania kama karanga badala ya kuzipiga mnada kama wafanyavyo kwa magari ya serikali.

Pia atueleze ni nani waliochukua Hela za Escrow kwenye Viroba ili tumpigie kura, kwani atakuwa katuthibitishia kuwa ni jasiri. Vinginevyo nae ni FISADI.
 
Tunamwomba Bw.Magufuli kama kweli ni jasiri azungumzie wale waliochukua Hela Stanbic Bank kwenye VIROBA kwani atakuwa ametuthibitishia wapiga kura kuwa utapambana nao. Pia atuhakikishie kuwa mafisadi wote pamoja Na hao Wa Escrow utawafikisha katika mahakama mpya ya ufisadi.
 
Back
Top Bottom