Uchambuzi wa Baraza Jipya la Mawaziri

Uchambuzi wa Baraza Jipya la Mawaziri

Bwana Emmanuel John Nchimbi na Gaudence Kayombo ambaye aliingia kwenye cabinet baada ya mbunge wa Tunduru kufariki.

Mikoa yote ya Tanzania Bara ilipata waziri angalau mmoja. Tatizo ni hawa wabunge wa upendeleo (viti maalum) maana huwezi kujua wanawakilisha mkoa gani. Mfano, Mama Meghji kwa asili ni Mzenji, lakini makazi yake yako Moshi, au Mama Sitta asili yake ni Mbeya lakini ameolewa na Six (Tabora), makazi ya kudumu ni Dar. Hapo ndipo baadhi ya wabunge unaweza kushindwa kuelewa wanawakilisha mkoa gani hasa kwenye hilo kundi la akina mama.

Wote hao ni manaibu waziri nadhani mtoa hoja anataka kujua Full minister
 
Mzee JUMA NGASONGWA APUMZIKE KABISA NA WALA ASIPEWE TENA WIZARA.

WAANDISHI WA HABARI TUPENI SABABU ZA MSINGI NA ZENYE TIJA SASA ZA KUMNYIMA NAFASI HIYO HUYU BWANA NGASONGWA??

HAFAI ETI ANATETEA MIKATABA YA MADINI NA KUSEMA the best practice in the world kuhusu mikataba ni kuwa ya siri kati ya tajiri na serikali!

** NI MSIMAMO WA SERIKALI MPAKA SASA, SI WAZO LA NGASONGWA PERSONALLY,KWA HEKIMA YAKO NA UTAFITI WAKO UNADHANI KWA NAFASI YAKE ULITAKA AJIBU NINI CHINI YA KIAPO CHA UWAZIRI!!! MH.MWAKYEMBE NA KAMATI YAKE HAWAKUTENDA KOSA KUREJEA HANSARD YENYE REMARKS ZA DKT.NGASONGWA KAMA MWAKILISHI PIA WA SERIKALI BUNGENI

LAKINI DR. MWAKYEMBE AMESEMA HIYO NI THE STUPID PRACTICE IN THE WORLD YENYE HARUFU CHAFU YA RUSHWA!

HAPO ALIPASWA AREJEE MJADALA HUSIKA NA KWANINI MH.NGASONGWA ATOE MAJIBU HAYO ANAYOYAITA STUPID,AENDE MBELE ZAIDI KWA KUITUKANA SERIKALI NA SI WAZIRI ALIYETOA MAJIBU KWA NIABA YA SERIKALI HAKUFANYA HIVYO BALI ALISHAURI TU NA KUWAPA MEDIA UPENYO WA KUMSAKAMA DKT NGASONGWA

PIA NGASONGWA ANAONEKANA AMEBAKI KUJIPENDEKEZA NA KUJICHEKESHA CHECHESHA TU ILI APEWE UWAZIRI!

UWAZIRI NI KAZI YA KUTEULIWA ,UNAPOTEULIWA NI MATAKWA YA MTEUAJI HIVYO HUNA LA KUHOJI VIVYO HIVYO UNAPOTENGULIWA HUNA HAKI YA KUHOJI,NADHANI HUMFAHAMU VIZURI DKT.NGASONGWA,SI MTU WA KUJIPENDEKEZA ILA NI PRODUCT ZA HAO WATU WA USALAMA ANAOWAELEZEA MWAMFRIKA WA KIKE(PINDA TYPE),LAKINI NIKUTAKE MWENZETU UTUELEZE KUNA USHAHIDI WOWOTE KWA RAIS WETU KUTEUA WATU ETI KWA VILE WANAJIPENDEKEZA???
HAFAI KWANZA WIZARA ALIYOPEWA NI ENGINE YA KUKUZA UCHUMI NA KUPAMBANA NA UMASIKINI INHITAJI WAZIRI MWENYE KICHWA SIYO DR ALIYEKARIRI TU VITABU!

NENDA KAIANGALIE PHD YAKE VIZURI,AU KAANGALIE 1ST DEGREE YAKE YA CEKOSOLOVAKIA ILIKUWA YA KUBAHATISHA AU? HAFANANI NA HIYO SIFA UNAYOISEMA,
**


WIZARA HII NDIYO KWANZA IMEPEWA JUKUMU HALISI KTK AWAMU YA JK,UKIONA WAZIRI ANATATIZWA KUFIKIA MALENGO YA RAIS KWANZA AANGALIA WIZARA YENYEWE,WATAALAM WAKE,SERIKALI KUU ILIVYOJIPANGA. TODATE JAMAA WA PLANNING WANAENDA VIZURI TENA KWA MSAAADA MKUBWA WA WAZIRI WAO MWENYEWE ,NDIYO MAANA HATA RAIS MWENYEWE AMEENDELEA KUWALETA WATAALAMU ZAIDI PALE.

NIMALIZIE KUINGALIA TATHMINI YA MWANANCHI,WANAMTAJA KAMA LOSER NO.1 ETI HANA MVUTO KTK JAMII-INATEGEMEA NA WIZARA HUSIKA,SIMFAHAMU WAZIRI ALIYEWAHI KUNG'ARA PLANNING,NI WIZARA YA KITAALAMU ZAIDI KULIKO UNAVYODHANIA 2.KUSHINDWA NEC- NI YALEYALE YA CCM NA RUSHWA WANAYOIPIGIA KELELE LAKINI PIA NI VITA YA KISIASA MKOANI HUMO DHIDI YA NGASONGWA,MUULIZENI JAKA MWAMBI NA MAKAMBA,ANNE MAKINDA WANAMHOFIA NINI NGASONGWA KTK MAMLAKA YA CHAMA,ILIKUWAJE WAMBEBE ABOOD KWA NGUVU VILE NA SASA RAIS NA M/KITI ANALALAMIKIA HALI HIYO FEDHA,BIASHARA NA SIASA!!!

ZAIDI NAONA WANA HABARI NA NINYI MNAOTUMIWA KUINUA WATU WA AJABU KTK JAMII KWA MANUFAA YA MATUMBO YENU. ACHENI CHUKI KWA WATU WEMA.

TUNAELEKEA 2010 KWAHIYO NI DHAHIRI KILA KITU KINA PROJECTION HIYO NA SI VINGINEVYO.

NI MTU MAKINI,MWANA USALAMA MKONGWE,SURVIVOR WA SIASA,MKWELI KWA ALIYE JUU YAKE NA PIA ALIYECHINI YAKE. NI KIONGOZI NA MSOMI MZURI NA MWENYE MAONO.
 
Wanabodi,
Baraza la mawaziri litakuwa na mabadiliko mengi na makubwa sana...
Mbali na Mafisadi kujiuzuru, wengine mafisadi watapigwa panga ama kujiuzuru kwa sababu (toka redio ya mbao) sheria ya kuchagua biaashara ama madaraka inatumika hivi sasa kama kigezo cha uchaguzi huo....

Sioni mtu wa kubakia!
 
Back
Top Bottom