Uchambuzi wa Baraza Jipya la Mawaziri


Wote hao ni manaibu waziri nadhani mtoa hoja anataka kujua Full minister
 
**


WIZARA HII NDIYO KWANZA IMEPEWA JUKUMU HALISI KTK AWAMU YA JK,UKIONA WAZIRI ANATATIZWA KUFIKIA MALENGO YA RAIS KWANZA AANGALIA WIZARA YENYEWE,WATAALAM WAKE,SERIKALI KUU ILIVYOJIPANGA. TODATE JAMAA WA PLANNING WANAENDA VIZURI TENA KWA MSAAADA MKUBWA WA WAZIRI WAO MWENYEWE ,NDIYO MAANA HATA RAIS MWENYEWE AMEENDELEA KUWALETA WATAALAMU ZAIDI PALE.

NIMALIZIE KUINGALIA TATHMINI YA MWANANCHI,WANAMTAJA KAMA LOSER NO.1 ETI HANA MVUTO KTK JAMII-INATEGEMEA NA WIZARA HUSIKA,SIMFAHAMU WAZIRI ALIYEWAHI KUNG'ARA PLANNING,NI WIZARA YA KITAALAMU ZAIDI KULIKO UNAVYODHANIA 2.KUSHINDWA NEC- NI YALEYALE YA CCM NA RUSHWA WANAYOIPIGIA KELELE LAKINI PIA NI VITA YA KISIASA MKOANI HUMO DHIDI YA NGASONGWA,MUULIZENI JAKA MWAMBI NA MAKAMBA,ANNE MAKINDA WANAMHOFIA NINI NGASONGWA KTK MAMLAKA YA CHAMA,ILIKUWAJE WAMBEBE ABOOD KWA NGUVU VILE NA SASA RAIS NA M/KITI ANALALAMIKIA HALI HIYO FEDHA,BIASHARA NA SIASA!!!

ZAIDI NAONA WANA HABARI NA NINYI MNAOTUMIWA KUINUA WATU WA AJABU KTK JAMII KWA MANUFAA YA MATUMBO YENU. ACHENI CHUKI KWA WATU WEMA.

TUNAELEKEA 2010 KWAHIYO NI DHAHIRI KILA KITU KINA PROJECTION HIYO NA SI VINGINEVYO.

NI MTU MAKINI,MWANA USALAMA MKONGWE,SURVIVOR WA SIASA,MKWELI KWA ALIYE JUU YAKE NA PIA ALIYECHINI YAKE. NI KIONGOZI NA MSOMI MZURI NA MWENYE MAONO.
 
Wanabodi,
Baraza la mawaziri litakuwa na mabadiliko mengi na makubwa sana...
Mbali na Mafisadi kujiuzuru, wengine mafisadi watapigwa panga ama kujiuzuru kwa sababu (toka redio ya mbao) sheria ya kuchagua biaashara ama madaraka inatumika hivi sasa kama kigezo cha uchaguzi huo....

Sioni mtu wa kubakia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…