Uchambuzi wa kina kuhusu kozi za computer - IT, Computer science, Computer Engineering, Software engineering na Cyber security

Hata hyo programming sina hakika kama unajua maana yake.
Kuna programmer, coder, developer na software engineering vyote vina context tofauti.
 
Na sina hakika kama wewe uko kwenye industry ya IT huwezi kukosea kuandika practical ukaandika practicle zaidi ya mara tatu usigundue wakati kwenye industry ukikosea hata nukta ni system hai-run.
 
Na sina hakika kama wewe uko kwenye industry ya IT huwezi kukosea kuandika practical ukaandika practicle zaidi ya mara tatu usigundue wakati kwenye industry ukikosea hata nukta ni system hai-run.
Hii bongo kazi sana aisee, mtu kaandika maada yake huko kuweka madini lakini wewe umeweka umakini kwenye spelling errors, tena kwenye jukwaa la tech ? hebu kajadili spelling errors jukwaa la Ras simba kama lipo
 
Saaana. Na nashangaa kwa masaa 20 wachamgiaji hawajafika 50, wabongo tumelaaniwa aisee. Asante sana boss kwa uzi makini, nimepata guidance ya watoto wangu
Wabongo naona hawapendi post ndefu zenye madini, 😂😂
 
Hii bongo kazi sana aisee, mtu kaandika maada yake huko kuweka madini lakini wewe umeweka umakini kwenye spelling errors, tena kwenye jukwaa la tech ? hebu kajadili spelling errors jukwaa la Ras simba kama lipo
Mkuu samahani sikujua nafanya argument na kanjanja nimeona mada zako za Simba na yanga yaani ushabiki hakuna fact and figure katika madai yako after all unawapotosha watu kwa vitu ambavyo huvijui.
Numekuuliza tofauti ya IT na IT engineering ni nin!?
Na programmer, coder, developer na software engineer!?
 
Hivi hiki chuo wanafaidika vipi na elimu zao za computer, wameshindwa hata kuwa na updated prospectus ??

Halafu hivi vyuo naonaga ni kama wanajiamulia wenyewe tu waweke somo gani watoe somo lipi, mtu aliehusika kwenye kutengeneza hizi kozi sijui alitumia mantiki ipi hapa... huenda ndio mambo yale yale tu kama ya chuo cha Must Mbeya wanafunzi wanasomeshwa masomo 16 kwa muhula.
 

Lakini umeweza kuona masomo
Kwenye hiki chuo CS & IT ni kama programu pacha kasoro masomo machache sana na hadi mnamaliza kipindi chenu cha masomo mnajikuta kama kulikuwa hakuna tofauti. Pamoja na utofauti huo mdogo lakini yeyote anaruhusiwa kuingia darasani kusoma masomo yasiyomuhusu aidha ya IT ama CS lakini hutofanya mitihani yake. Hiyo yote kama unahitaji kujifunza zaidi kwa mgongo wa programu nyingine.
 
Wakuu mnavobishana mnatuchangaya sisi tulio nje ya field yenu

Naomba wanaobishana na mtoa maada basi watuambie tofauti ya hizo course

Maana its like hizo kozi ziko sawa kwa namna mnavobishana kuwa vya IT anasoma CS

Hebu mtudadavulie kama mtoa maada alivofanya inakua rahisis hata sisi kuelewa
 
Kwa vyuo technical siwezi shangaa kabisa hata wakianzisha kozi za mapishi waweke somo la hesabu , swali ni kwamba hizo hesabu zina fit vp kwenye taaluma

Kwa vyuo technical siwezi shangaa kabisa hata wakianzisha kozi za mapishi waweke somo la hesabu , swali ni kwamba hizo hesabu zina fit vp kwenye taaluma ?
Lengo ni kuleta ushindani kwenye soko la ajira aidha kwa kujiajiri, kuajiri ama kuajiriwa. Mfano kama ukisoma hiyo IT kutoka hapo ATC na labda tuseme umepata fursa kwenye taasisi ya elimu mbali na kuwa mtaalamu wa IT lakini pia unaweza kufundisha masomo ya hesabu na vilevile hesabu zinakupatia wigo mpana wa kuweza kusoma zaidi maswala yatakayohitaji hesabu kama vile artficial intelligence (AI) n.k., iwe kwa kujifunza mwenyewe au kama unataka kuendelea na level za juu za elimu kama Master's Degree, n.k. katika nyanja mbalimbali.

Kwa hiyo ni tofauti kama ukisoma mambo machache utaishia kufanya vitu vichache na inaweza kuja kukupa shida hapo mbeleni ukitaka kujifunza maswala yanayohitaji hesabu zaidi kwa sababu elimu ni pana na endelevu.
 
Lengo sio kubishana ila tunawekana sawa zaidi maana mtoa mada ameeleza vyema ila kuna sehemu kateleza. Ni vema kujifunza kwa usahihi na kufanya chapisho liwe bora zaidi kama kuna makosa basi ni ruksa kutoa hoja zenye mashiko.
 
Mtu kaenda kusomea elimu ya taaluma flani kuna haja ipi ya kumuongezea masomo ambayo hayahitajiki kwenye taaluma yake ??

Nina mashaka makubwa sana na huyo aliepanga kozi ya IT iwe na mfanano mkubwa na computer scoence, inaelekea alikuwa hajui hata lengo la taaluma hii.

Mtu unaongezea masomo yasiyohusika ni nani kakwambia yanahitajika ? kwani hayana kozi zake??

Hapo siwezi kushangaa nikiona chuo kama hicho wametupia masomo hayo ili elimu iwe ngumu, ni kama utamaduni hivi kuona elimu ikiwa ngumu sana ndio chuo kimeiva, huu ni ushamba wa hali ya juu sana,
 
Mtu kajitolea humu kuleta ufafanuzi lkn kuna wale much know wanajitokeza kuchallenge tuone uwepo wao humu[emoji23][emoji23]

Guys mkiona mtu katoa thread huielew bora ukatolea ya kwako ili tuone masahihisho kulko kuforce majibishano humu
Uzi uko public na sidhan kam tuko limited kuchangia tofauti na mitazamo ya mtoa mada.
Na hii ndio maana halisi ya social network na pili tuko anonymous sidhan kama kuna mtu anatafta attention mwisho tuna grow kwa kuwa challenged sio kwa kusifia, uchawa au kuwa pleased.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…