Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,269
Huu upumbavu ulisambaa sana, lakini nusura umtoe roho shabiki mara baada ya Yanga kupata goli la 2 na 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu upumbavu ulisambaa sana, lakini nusura umtoe roho shabiki mara baada ya Yanga kupata goli la 2 na 3
Hujui wale watu wabobezi wa ... wana 'mambo' mengi sana? Kwani Daudi Bashite unamwonaje?Hahahahahaha, yaani hadi huyu anyejiita mbobezi wa ...,anakuwa na mawazo haya ?
Weee usiniambie kuwa na wao wanajua hiiyo michezoH
Hujui wale watu wabobezi wa ... wana 'mambo' mengi sana? Kwani Daudi Bashite unamwonaje?
Hata wale wazee wa kazi Kambi ya Ngerengere usifikiri wanategemea mafunzo ya kitaalamu tu, wanavuka nje ya hapo.
Ndio wasomi, viongozi na mawaziri hawa endapo CDM itashika nchi. Pumbavu kabisa.Yericko Nyerere kuna mtu anabishia hoja yako ya ushirikina huku.
Alafu wanakwepesha ukweli kwa hoja za kuhongwa mara uchawi na blah blah nyingi.Hao ni wastafu mkuuu.....
Mstaafu saido
Mstaafu chama
Mstaafu Boko
Mstaaf miquissosn.
Mstaafu Ngoma.
Mstaafu shomary...,.
Mstaafu shabalala
Maswali kwako mheshimiwa Benny Haraba .Kumbe mkifungwa , (pigwa), mnatafuta sababu ambazo ni mbumbu tu kama wenyewe mtajiliwaza nazo