Uchambuzi wa kitabu: Unanswered Cries

Uchambuzi wa kitabu: Unanswered Cries

kama mwalimu mzoefu wa somo la kiingereza, hususani kwenye kipengele cha fasihi, siwashauri waalimu kutegemea solely uchambuzi wa watu wengine.

Jambo hili linasababisha uvivu na kukosa ubunifu katika ufundishaji. kama mwalimu, unatakiwa kukiaoma kitabu husika na kuandaa uchambuzi wako ukishirikiana na wanafunzi wako.

Wanafunzi wengi wanafeli maswali ya literature kwa sababu nao hawasomi vitabu bali wanakariri chambuzi, matokeo yake swali lolote watakolopewa watajibu themes mfano, Fgm, corruption, position of women, trad and customs kwa upande wa novella hii ya conteh.

Tafadhali ndugu walimu, tubadilishe mtazamo huu kwa mistakabili wa ufaulu wa watoto wetu katika somo hili.

hawa walimu wavivu ndio wanaosababisha ufaulu wa masomo yenye walimu wa kutosha kua sawa na ule wa masomo yanye uhaba wa walimu.
 
hawa walimu wavivu ndio wanaosababisha ufaulu wa masomo yenye walimu wa kutosha kua sawa na ule wa masomo yanye uhaba wa walimu.

Hapa si kwamba sis ni wavivu kama ungekuwa umesoma vizur mambo ya fasihi nafikiri usingesema hivyo, sifa ya mhakiki mzur ni sharti awe amesoma hakiki za watu wengne ili baadae unafanya uhakiki wako ili uone cha kuongezea au upate mwanga wa uhakiki utakao ufanya. Hakuna kipya chini ya jua.
 
hongera wewe mwalimu uliye amka na kuanza kushirikiana na wanafunzi wako katika uchambuzi wa vitabu, sio kama mwalimu wangu aliyekua anatupatia uchambuzi wa watu ili tukariri. wote wakuige!
 
hongera wewe mwalimu uliye amka na kuanza kushirikiana na wanafunzi wako katika uchambuzi wa vitabu, sio kama mwalimu wangu aliyekua anatupatia uchambuzi wa watu ili tukariri. wote wakuige!

Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom