Uchambuzi wa Manara: Yanga wanaweza kuinunua Simba

Uchambuzi wa Manara: Yanga wanaweza kuinunua Simba

FB_IMG_1682646137959 (1).jpg
 
[emoji599]HAJI MANARA YANGA WANAWEZA KUINUNUA SIMBA

Anaandika HAJI MANARA

"Hakuna Shortcut katika kufanikiwa,na lazma tubadilike, tuishi Kiuhalisia na tuache porojo,Washabiki wetu wa leo sio wajinga wajinga na wamebahatika kuishi kwenye dunia ya teknolojia na mitandao ya kijamii!!

Tusiwe na akili ya huyo Njemba ambae tunapigwa fix baada ya kunywa Petrol kama sio diesel katoka nduki kuliko Benz.

Bajeti ya msimu ujao ya Yanga Bilioni Ishirini,ni sawa na pesa ambazo Makolo wameuza Club yao ( hadi leo senti nyekundu hawajapewa) yaani Kiufupi msimu ujao Yanga wanaweza kuacha kila kitu wakainunua FC kolo na kuigeuza Club ya Pombe au kituo cha kujifunza ulevi.

Je ukitoa ushabiki .. unadhani manara ana facts??

View attachment 2668659
Hili jamaa jinga sana.
MO alinunua hisa 49% za Simba Kwa hizo 20Bil hivyo ukitaka bei ya Simba ya 100% ni zaidi ya 40Bil.

Pia hii ni bei ya miaka hiyo (labda 5 years back) na ni wazi hapa kati Simba imekua ki thamani Kwa kiwango kikubwa hivyo yaweza kuzidi hata mara ya mbili ya wakati huo.

Hesabu kama hizi mtu kama Manara na Wana Yanga wengine hawawezi kuzijua sababu ya ukweli tu kua wenye akili pale Yanga ni wawili tu.
 
Thamani imekua......mbona mudi hajaongeza mpunga Kwa koloz
 
Thamani imekua......mbona mudi hajaongeza mpunga Kwa koloz
Unapima vipi ukuaji wa thamani ya club? Kwamba watu wakiweka hela ndio club imekua?

Club inakua value Kwa kufanya vizuri kimataifa na kuanza kufahamika nje ya mipaka yako. Ukitaka kuidhamini Simba miaka 6 iliyopita ni tofauti na ukitaka kuidhamini Sasa, vivyo hivyo Kwa Yanga pia.
 
Unadhani Kwann watu hawaweki pesa ndefu Kwa kmc
 
Bajeti ya msimu ujao ya Yanga Bilioni Ishirini,ni sawa na pesa ambazo Makolo wameuza Club yao
Huenda kuna kundi kubwa la watu (watanzania) hawaelewi maana ya Bajeti. Ukizungumzia Bajeti, maana yake mapato na matumizi yamebalance, kwamba hakuna fedha itakayosalia. Kwa maana hiyo, kama bajeti ya Yanga ni 20B, maana yake ni kwamba wamepanga kupata mapato ya sh. 20B na kuzitumia sh. 20B zote. Sasa hapo hela ipi itainunua Simba wakati zote zimeisha kwenye matumizi mengine? 😁😁😁
 
Hili jamaa jinga sana.
MO alinunua hisa 49% za Simba Kwa hizo 20Bil hivyo ukitaka bei ya Simba ya 100% ni zaidi ya 40Bil.

Pia hii ni bei ya miaka hiyo (labda 5 years back) na ni wazi hapa kati Simba imekua ki thamani Kwa kiwango kikubwa hivyo yaweza kuzidi hata mara ya mbili ya wakati huo.

Hesabu kama hizi mtu kama Manara na Wana Yanga wengine hawawezi kuzijua sababu ya ukweli tu kua wenye akili pale Yanga ni wawili tu.
Nilikuwa natafuta comment murua kama hii kabla sijakometi. Manara ni mjinga kama ambavyo alivyo yule earpod jorno.
 
Huenda kuna kundi kubwa la watu (watanzania) hawaelewi maana ya Bajeti. Ukizungumzia Bajeti, maana yake mapato na matumizi yamebalance, kwamba hakuna fedha itakayosalia. Kwa maana hiyo, kama bajeti ya Yanga ni 20B, maana yake ni kwamba wamepanga kupata mapato ya sh. 20B na kuzitumia sh. 20B zote. Sasa hapo hela ipi itainunua Simba wakati zote zimeisha kwenye matumizi mengine? [emoji16][emoji16][emoji16]
Hadhi ya budget mkuu......ni sawa na thamani ya simba
 
Back
Top Bottom