Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Kama Humfrey na wengine wanaona kuwa rasimu ya 3 haijakidhi matakwa ya wengi, kuna nafasi moja kubwa imebaki, nayo ni kuwashawishi wananchi na kuikataa hii katiba kwenye kura ya maoni, vinginevyo kulalamika mitandaoni na kwenye TV ambazo zinawaafikia watu wachache sana tena, wengi wao sio wapiga kura haisaidii. Ni ushauri tu.