Uchambuzi wa mwanzo wa katiba inayopendekezwa: Tusikubali maslahi binafsi yashinde maslahi ya taifa

Kama Humfrey na wengine wanaona kuwa rasimu ya 3 haijakidhi matakwa ya wengi, kuna nafasi moja kubwa imebaki, nayo ni kuwashawishi wananchi na kuikataa hii katiba kwenye kura ya maoni, vinginevyo kulalamika mitandaoni na kwenye TV ambazo zinawaafikia watu wachache sana tena, wengi wao sio wapiga kura haisaidii. Ni ushauri tu.
 
Mimi nashangaa mnaangaika eti tutaipigia kura, nini? Tupigie vijizuu vya ccm, ivyo watapigia wao, cku ya kura tunaweka vituo vyetu tunaenda kupigia rasmu ya mzee warioba. Maana ipo complete haiitaji discussion
 
Humu ndani kuna watu mawazo yao kama wamekunywa maji ya chooni coz ccm wamelewa madaraka na wao wanawaendekeza
 
Kwa katiba hii ccm bye bye .atakama katiba inawekwa kabatini .adhabu lazima tuwapeni 2015 .kuhakikisha hamshindi kuja kuipitisha 2016 ..
 
Nchi hii inaviongozi ambao wamejigeuza vichaa hata aibu hawana? Chenge katiba wapi na wapi kafanya madudu chi hii bado kunamijitu inasifia tu bila kujua matatizo yanayoweza tokea sasa wanaonesha wazi kwamba watakufa na utawala sasa tunapiga chini wote maccm afu tuone kama hamtahitaji hiyo rasimu ya pili ndo katiba in short maana walikaa wasomi nakuchambua maoni ya wananchi leo uwapelekee akina komba hawajui chochote wanajua maslah tu
 

kwani we nani kwenye nchi hii uwaamulie watu?
 
Mlitaka kutengeneza katiba yenu na mzee warioba lakini sasa ndiyo basi hii ni katiba ya watanzania hatutaki katiba ya walevi kama wewe na warioba.

Hapa ndo magamba mliposhindwa, kujibu hoja kwa hoja.
 
kwani we nani kwenye nchi hii uwaamulie watu?

Wacha uPUMBAVU unadhani wote wanafikiri kwa kutumia UTUMBO km wewe,,,,!! JINGA KABISA mnajifanya mnahatimiliki nahii NCH subirini km hamjahama na mifuko ya RAMBO
 
Ukiuona huu Ufarao wa CCM unalazimisha haya kwa kutufunika sote katika magunia, basi ujue kuwa Mwenyezi Mungu analazimishwa kuwauwa wazaliwa wote wa kwanza wa Tanzania ili kufanikisha uhuru na demokrasia. Katiba mpya na bora iko njiani imevikwa magunia inaomboleza, lakini mwisho itafika.
Asante Ndugu Humphrey tuendeleze Mapambano. MUNGU ni Mwema.
 
Kinachoendelea Dodoma kiturudishe kwenye HOJA ya MTIKILA huenda 6 na GENGE lake uRAIA wao unawalakini mimi siamini km ni PESA tu cz km ni pesa wanazo nyingi lkn kinachofanyika pale ni uHALIFU,,!
 
Wacha uPUMBAVU unadhani wote wanafikiri kwa kutumia UTUMBO km wewe,,,,!! JINGA KABISA mnajifanya mnahatimiliki nahii NCH subirini km hamjahama na mifuko ya RAMBO

hata huyo unayemsikiliza hana hati mikiliki na nchi hivyo mawazo yake hayawezi kutuamulia hatma yetu
 
Natamani siku wakituletea hiyo 'toilet paper' ya Chenge, NTAICHANACHANA hadharani kama walivyofanya Zanzibar kipindi kile. Hapa ndipo ntakapofia wanajamvi. Najua Intarahamwe kuua ni kawaida yao, watanipiga mpaka uhai utanitoka. Lakini potelea mbali bora nife napigania Taifa kuliko kufa na kwa Ebora au Ukimwi!
 
Weka hoja basi. Hizo fujo sasa. Au unataka useme lolote tu ili hiyo buk saba ionekane ilivyotumika.

Nikuwekee hoja za nini wakati yupo unayemwona mungu wako wa mawazo-kura ya maoni itaamua
 
Nikuwekee hoja za nini wakati yupo unayemwona mungu wako wa mawazo-kura ya maoni itaamua

Unaitajataja sana kura ya maoni. Mshajipanga na huko nn? Au nayo umekariri kwenye maagizo ya leo. Mungu ni mmoja tu. Na atawaonyesha tu safari hii.
 
hata huyo unayemsikiliza hana hati mikiliki na nchi hivyo mawazo yake hayawezi kutuamulia hatma yetu

Kila mtu anahaki yakuckilizwa hata nyie mnaofikiri kwa kutumia UTUMBO tunawackiliza ndio maana tunajua yaliyojaza Mioyo yenu,,,,,!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…