Uchambuzi wa mwanzo wa katiba inayopendekezwa: Tusikubali maslahi binafsi yashinde maslahi ya taifa

mijitu ya maGAMBA imejisahau sana inadhani itadumu mamlakani milele,,,NO,,mtaondoka tu Mnadhani mtaweza kuzuia fikra huru za watu
 
Inaonekana wewe peke yako huko simiyu bado mshamba sana na hujitambui pole Mungu muumbaji akusaidie
 
Kila mtu anahaki yakuckilizwa hata nyie mnaofikiri kwa kutumia UTUMBO tunawackiliza ndio maana tunajua yaliyojaza Mioyo yenu,,,,,!!

zezet ww hivi unadhani katiba itabeba kila kitu anachosema-ww sio Mungu ujue yaliyo moyoni
 
Siwez sumbuka na asie jitambua majuto ni mjukuu subiri tuone kinacho subiliwa
 
zezet ww hivi unadhani katiba itabeba kila kitu anachosema-ww sio Mungu ujue yaliyo moyoni

Kimtokacho mtu ndicho kiujazacho MOYO wake una swali lingine,,,,,!! Nani kakwambia kila kitu kinatakiwa kiwemo kwenye KATIBA ndio mnavyodanganya mnaowavika KANGA na FULANA,,, , JINGA KABISA,,,!!!!
 
Tunataka KATIBA itakayokuwa msaada kwa wananchi wote sio wasaka TONGE na vibaraka wenu Vyovyote iwavyo tutaipata KATIBA tunayoitaka huo upuuzi wa 6 na GENGE lake utabaki kwenye makabrasha tu,,,!
 

pamoja kaka
 
pole pole sawa tu

ndio umeamua kutukimbia sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…