nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
hayawahusu .mna mechi na mwadui leo hizo ndo level zenu halafu makambo kakosa nauli ya kurudi bongo,mtumieni kwa airtel moneyHuhuhuhuhu yani mkawafunge au kutoa sare kule Kongo?! Hivi inakuaje mtu unaota ndoto kama hii?!
Mkuu njia pekee ya Mikia kucheza kimataifa msimu ujao ni mbili. Achukue ubingwa Ligi kuu au Aingie fainali ya klabu bingwa Afrika which is future funny tense. Sasa kama unaona akina mwadui wanamuhusu Yanga tu basi Aden Rage yupo sahihi kuhusu lile jina alilowapa.hayawahusu .mna mechi na mwadui leo hizo ndo level zenu halafu makambo kakosa nauli ya kurudi bongo,mtumieni kwa airtel money
mtumieni makaambo nauli ya kurudi kakwama congo,hayo mengine yaacheni jamani.Mkuu njia pekee ya Mikia kucheza kimataifa msimu ujao ni mbili. Achukue ubingwa Ligi kuu au Aingie fainali ya klabu bingwa Afrika which is future funny tense. Sasa kama unaona akina mwadui wanamuhusu Yanga tu basi Aden Rage yupo sahihi kuhusu lile jina alilowapa.
Kuna mwenzako alikuja na uzi Zahera kakimbia njaa ila akasusa uzi wake. Sisi tumechagua kusikiliza kauli za viongozi wetu sio kauli za Mbumbumbu.mtumieni makaambo nauli ya kurudi kakwama congo,hayo mengine yaacheni jamani.
Watahamisha goli mkuu, chezea wabongo, waliwaamini waarabu wakaishia kuwaita wahindi!tukiwafunga au tukitoa sare utasikia agh mechi ijayo hmtaweza,maneno haya yalianzia kwa mbabane yakenda nkana yakaenda algeria..chillax men.camon
Kipimo sahihi ni jmosi,Huyu jamaa anajiita mchambuzi wa soka hapa Tanzania.. Lakini uchambuzi wake ni uchambuzi wa kubomoa, kuponda na kuondoa ari ya soka waliokuwa Nayo watanzania ...uchambuzi uliojaa fitina na chuki za kishamba na kishabiki na hajui maana au tafsiri ya underdog ...... Alisababisha kutoka mwamko na ari ya watazamaj watanzania Kwa ujumla katika mechi na saoura ... Bado haamini matokeo ya uwanjani kwamba soka la Leo asilimia kubwa hakuna timu kubwa wala ndogo mambo yote ni uwsnjani najua anafahamu amekuwa kero Kwa kampeni ya Simba katika maandalizi yeke ...pamoja na ushamba wake ataishangaa Simba msimu huu
mikia FC hiyo.
Hahaha huyo jamaa wa mwisho Julia bonge ni Mwekundu mpaka Mdomoni teh
Jamaa washajua Shaffi alikuwa sahihiShaffi yupo sahihi ngoja hatua ya makundi ikamilike ndo tutaona ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wanajuaunaweza kuta matusi yote anayoyapakaa shafii ukute mbumbumbu hawajui maana ya underdogs!