Uchambuzi wa Shaffih Dauda na kuvuruga ari ya watanzania

Uchambuzi wa Shaffih Dauda na kuvuruga ari ya watanzania

Shaffii ni mchambuzi,. mchambuzi anaongea anachoamini kipo sawa na sio kuchambua ili kumfurahisha mtu /watu Fulani.. na je angesema kuwa kwenye kundi d simba ndo giant.. halafu ndo imekuwa hivi kama ilivyo. si mngesema yeye mchambuzi uchwara???
Mr underdog chechez
 
Nafikiri mpaka hapa hawa mbumbumbu fc wameshaelewa nini maana ya underdog
 
Back
Top Bottom