Shaffii ni mchambuzi,. mchambuzi anaongea anachoamini kipo sawa na sio kuchambua ili kumfurahisha mtu /watu Fulani.. na je angesema kuwa kwenye kundi d simba ndo giant.. halafu ndo imekuwa hivi kama ilivyo. si mngesema yeye mchambuzi uchwara???
Mr underdog chechez