Uchambuzi wa soka TBC World cup 2014 Brazil(by mwl.kashasha)

Bongo mbona kama ni mpira wa kucheza mdomoni wangechukua kombe la Dania mara nyingi tu.
 
porojo tu.....!Mchambuzi akitamka tu jina la timu,samahan mwl turudi kwanza studio kwa matangazo!Matangazo yakiisha utasikia tujiunge na mtangazaj mwenzetu aliye huko mtaani,Huyo anaongea na watu ili awape zawad kutoka kampun fulan ya simu!Akimaliza utasikia haya mchambuz fulan wap karata yako leo!Akimaliza turud studio kwa matangazo.PALE NI POROJO TU HAKUNA MCHAMBUZ WALA NINI
 
Ball on the Space, The man in the space, Ball in The net.
Mara nyingi Tambwe anapokuwa na mpira anajaribu kudribo ili kuweza kuwapoteza mabeki wa Simba, Na ndicho kilichotokea hapa. Hii inaitwa Free dribble, hii ni American style of playing
Kwako Enock.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…