Uchambuzi: Wachezaji wa Simba wameifelisha Taifa Stars

Uchambuzi: Wachezaji wa Simba wameifelisha Taifa Stars

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
[emoji599] HATUJA STAHILI MATOKEO HAYA.

Je: ile kauli ya CEO wa KOLO kuwa makolo wame possess 36% ya taifa stars ime reflect yaliyomo?

Facts za kiuchambuzi

Ukweli lazima usemwe, baadhi ya wachezaji wa Simba wanacheza kwa kujisikia. Hawajitumi, hakuna budi kuwalaumu wao kwa kutuhujumu.

Ukimtazama AISHI MANULA.. Ambaye nd'o kipa namba moja, anafungwa magoli gani yale ya kizembe? Hivi ile penalti ya kushindwa kuokoa? Halafu tunaambiwa nd'o kipa namba moja. Kipa bora. Ni vichekesho mno.

MKUDE.. Hajitumi ipasavyo, anazunguka tu uwanjani. Ameona haitoshi akaamua kucheza faulo makusudi ili tufungwe tuondolewe. Na bado akawa hakabi.

JOHN BOCKO.. Sijajua huyu aliingia kufanya nini? Kama angekuwa hataki kucheza angekaa benchi tu kuliko kuwapa mzigo wenzake.

Yeye ni mshambuliaji, ajabu hakuna shuti hata moja alilo piga wala hakuweza kuisumbua safu ya ushambuliaji ya UGANDA. swali alikuwa ni beki au nani?

Kuna yule mdada anaye jiita C. E. O, niliona chapisho lake moja akisifia kwamba wachezaji wa timu yake wapo wengi sana timu ya taifa. Na akawataja wote na nafasi zao wanazo zicheza uwanjani.

Ajabu hao hao alio wataja ndio ambao wameshiriki kuiondoa Timu ya taifa mashindanoni.. Binafsi mimi sioni umuhimu wa wachezaji wa Simba kuwa nao kwenye timu ya taifa.

Nb / Full time SIMBA 0-3 UGANDA. Matokeo ya jumla SIMBA 0-4 UGANDA..

Swali: je unakubaliana na hili??
Nb : ushabiki tuweke pembeni

FB_IMG_16622245557664585.jpg
 
Hatuna timu pale ni muda muafaka kuachana na wachezaji wa Simba na Yanga wote wanacheza Mpira wa ovyo usio na ufundi
 
Hata ukiwaondoa wachezaji wote wa Simba kutoka timu ya taifa, hakun mabadiliko yoyote utakayopata kwa sasa...

Mi nadhani kama nchi bado tuna upungufu wa wachezaji wazuri wanaoweza kutupa matokeo pale tunapoyajitaji....

Hili hata Kim Poulsen alilisema Juzi kati hapa kwamba kwenye ligi yetu, wachezaji bora/wazuri wengi ni wakigeni...hivo analazimika kuwatumia waliopo...maana yake wachezaji wetu hawana uwezo wowote....si wa Simba,Yanga,Azam wala tim zingine hizo..
 
Mkuu....unahisi tatizo lipo kwa TFF??
 
Back
Top Bottom