Uchambuzi wangu baada ya kuona mnyukano ya Trump na Zelenskyy

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311

Zelenskyy ni Secret Agent wa USSR aliyeiva​

Katika mazungumzo Zelenskyy alionekana kuwa ni mtu wa kujiamini sana. Maelezo yake aliyokuwa anayatoa ni very direct. Yeye alichokuwa anadai kwa Marekani ni Security Guarantee. Maana yake anamtaka USA aingie direct conflict na Russia.

Trump alikuwa anasema Zelenskyy hana Card 🤣 🤣Ki uhalisia Zelenskyy yupo na Victim Card

Wiki:
A "victim card" is a metaphorical expression used
when someone claims to be a victim of unfair treatment,
often to gain sympathy, avoid blame, or justify certain actions.
It can be used in both legitimate and manipulative contexts

Tayari Trump ameshaonesha kuwa kitu kikubwa anachokitaka kutoka huko Ukraine ni Rare-earth minerals
Wiki:
Rare-earth minerals contain rare-earth elements (REEs),
which are a group of 17 elements in the periodic table, 
including the 15 lanthanides plus scandium and yttrium. These elements are critical for modern technology,
including electronics, renewable energy, defense systems, and electric vehicles.

Hii ni ramani ya Ukrain yenye Madini

1740913030868.png

Zelenskyy alimwambia Trump kuwa anataka ampate License ya kutengeneza Defense systems za Marekani ndani ya nchi yake ikiwa ni sehemu ya mkataba.

Ikimsikiliza kwa kina Zelenskyy utakuja kugundua yupo upande wa Russia anamtaka USA aingie kichwa kichwa ili Europe na Russia wamshugulikie.

Nitaendelea.....
 
View attachment 3255717

The most bizarre analysis I've ever come across.
 
Hii ni kama Damage control wanayofanya wamarekani baada ya kugundulika walikuwa wanatafuta makandokando.

Ukweli ni kwamba , kama sio Zelenski kusema kwamba alilazimishwa akubali dili kwa kuwapatia wamarekani hizo rare earth minerals labda hata tusingejua yaliyojiri kwenye mazumgumzo yao.

Nevertheless, uzi huu ni muendelezo wa talking points na propaganda za machawa wa Trump na wenye itikadi na misimamo ya mrengo wa Kulia.

Inshort, unamlenga kumdogosha na kumchafua Zelenski, na hatimae kubadilisha taswira na madudu yaliyoibuliwa huko.

Kuanzia dili la rare earth(ambayo walitaka iwe siri) na ubabe and undiplomatic behaviour za makamu wa mkulu pamoja na yule Mwandishi aliyeuliza kuhusu uvaaji wake.
 
America imekuwa ya wavaa vijoraa..sijawahi fikiria kabisaa
 
Soma vizuri mkuu uzi wangu. Mimi najulikama msimamo wangu. Kumbuka kikao cha kwanza kabisa Urusi wanavamia Ukraine. Putin walikaa kikao na Ukraine huku waziri mkuu wa Israel akiwepo.

Zelenskyy alihakikishiaa kuwa hatouawa. Putin ni mtaalam wa hizi mambo. USA wanacheza mchezo wa Draft Putin anacheza mchezo wa Chess
 
Back
Top Bottom