Uchambuzi wangu: Mechi itaisha Al Ahly 6 - 0 Simba

Unaikumbuka hii?

"APIGWE NDULI APIGWEEE? APIGWE NDULI APIGWEEE?"
 
Yaani unahangaika kama kuku aliyekosa pa kutaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina cha kuwaombea. Nakumbuka ile siku wakati natoka uwanjani kwenye fainali ya CAFCC Vs Usma Alger makolo walikuwa wamejipanga barabarani wanatukana na kuzomea sana, wakati wao umefika.
Daaah hawa viumbe Wana kelele sana

Wapigwe tu [emoji23][emoji23]....sema zisizidi 5
 
kesho dunia yote ya mpira itakuwa Tanzania, hata wale wasiotutakia mema watakuwa wamejazana kujifunza namna gani huwa tunamtetemesha bingwa wa Afrika. Karibuni mumwone Wenger maana mlizoea kumwona kwenye Tv,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…