Uchambuzi wangu: Mechi itaisha Al Ahly 6 - 0 Simba

Kama ilivyo kawaida kwa mechi kubwa inavyokuja mimi kama Mchambuzi Bora hapa JF lazima nilete analysis ya mechi before Ili kumsaidia kocha kufanya right decision at right time. Japo nimemsikiliza leo naona Robertinho anaongea huku anatetemeka.

Uchambuzi wangu

Kutokana na uzito wa mechi, uwepo wa vigogo wa soka Duniani (kitu ambacho kina Saido, Chama + Kolo wote hawajazoea tofauti na Al Ahly au Yanga waliocheza Finali mbele ya vigogo wa soka Africa kule Algeria dhidi ya USM Alger). Hali hii itawafanya wachezaji wa Simba ku panic hivyo kilose confo na kuamua kujilinda zaidi kuliko kushambulia. [emoji735] Kosa hili watapigwa goli 3 za fasta. [emoji23]

Low quality players

Wafungaji wa Simba ni wazuri kwa timu zenye low profile kina horoya, Coastal, hapo utashuhudia Saidoo, Baleke anapiga goali 10+ pekee lakini wakikutana na timu kama Al Ahly wanapoteana hivyo kusababisha Al Ahly kuutawala mpira langoni kwa kolo, hapa Simba atakula 3 pia.

NB: Kwa mechi ya kesho hawa wa kina Baleke, Phil na Chama usije shangaa wakiugeuka kuwa Ngushi (chance 7 no goal) [emoji23][emoji23]baada ya kupoteana.

Mwisho, Simba 0-6 Al Ahly.

View attachment 2786432
Unaikumbuka hii?

"APIGWE NDULI APIGWEEE? APIGWE NDULI APIGWEEE?"
 
Yaani unahangaika kama kuku aliyekosa pa kutaga
JamiiForums-332531034.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina cha kuwaombea. Nakumbuka ile siku wakati natoka uwanjani kwenye fainali ya CAFCC Vs Usma Alger makolo walikuwa wamejipanga barabarani wanatukana na kuzomea sana, wakati wao umefika.
Daaah hawa viumbe Wana kelele sana

Wapigwe tu [emoji23][emoji23]....sema zisizidi 5
 
kesho dunia yote ya mpira itakuwa Tanzania, hata wale wasiotutakia mema watakuwa wamejazana kujifunza namna gani huwa tunamtetemesha bingwa wa Afrika. Karibuni mumwone Wenger maana mlizoea kumwona kwenye Tv,
 
Back
Top Bottom