Uchambuzi wangu: Mechi itaisha Al Ahly 6 - 0 Simba

Huyo sio kishingo kocha ambaye anajiendea tu kama kuku aliyekatwa kichwa robertinyo ni technical coach ukimfunga anafanya substitution sio kishingo anasubiria goal mpaka zinafika tano ndio anafanya maamuzi ndio maana hajafungwa mpaka sasa
 
Sawa lakin angalia usijekufa mapema kwa nsongo wa mawazo, Madrid kachukua ndoo kwa style ya uchezaji anayoitumia simba
 
Huyo sio kishingo kocha ambaye anajiendea tu kama kuku aliyekatwa kichwa robertinyo ni technical coach ukimfunga anafanya substitution sio kishingo anasubiria goal mpaka zinafika tano ndio anafanya maamuzi ndio maana hajafungwa mpaka sasa
Mechi za ndani .... Anabebwa na refa....then cheki mechi za kimataifa.....Simba anavyostruggle
 
Hadi unatia huruma
 
Kwa wababe umeshiriki baada ya miaka 25
Kwa huu mwandiko wako wewe ni mdogo kuliko muda amabao yanga hajashiriki haya mashindano[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kombe tunaenda kulileta
 
Ashki majnuun
في اللغة العربية:

نحن نادي الأهلي قد دخلنا تنزانيا...

نحن نرجو منكم أن تستمروا في دعمنا.
 
Mechi za ndani .... Anabebwa na refa....then cheki mechi za kimataifa.....Simba anavyostruggle
Ukiwa yanga kweli unabadilika wakati marefa wanaibeba yanga mwaka jana mlikuwa wapi kuwakemea marefa tulieni dawa iwaingie mwaka huu
 
Ukiwa yanga kweli unabadilika wakati marefa wanaibeba yanga mwaka jana mlikuwa wapi kuwakemea marefa tulieni dawa iwaingie mwaka huu
Tulikemea Hadi ikawa fair
 
Una kichaa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…