Kuna chuki kubwa sana hapo inajengwa mioyoni mwa Watanganyika.. Na chuki Ina hulka ya kumea na kukomaa ama kutunga mimba na kuzaaKuna kitu nimegundua haya mauwaji ukifatilia wanzanzibari waishio hapa nikama wafurahiji wazuri na wametimiza ndoto zao maana nilijaribu kuwachunguza sehemu za mikoa niliyopo ndio waliokwenda kupiga kura na ukitaka kujua kuwa wanafurahi haya swala haya yaliyotokea unaona kama lugha zinafanana na maonegzi ya samia.
Mimi nakusanya taarifa nimeona wanzanzibar waishio tanganyiko wanarudisha zile chuki zao kuanzia kufukuzwa utawala wa waoman na warabu kwao na kwa sasa kinachoendelea znz itaitawala tanganyika kwa nguvu yoyote ndio walivyopanga.Kuna chuki kubwa sana hapo inajengwa mioyoni mwa Watanganyika
TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTokMimi nakusanya taarifa nimeona wanzanzibar waishio tanganyiko wanarudisha zile chuki zao kuanzia kufukuzwa utawala wa waoman na warabu kwao na kwa sasa kinachoendelea znz itaitawala tanganyika kwa nguvu yoyote ndio walivyopanga.
Huyu mwanamke ni muovu kupindukia. Ati mtu anafanya dhuluma makusudi kwa kutegemea kufanya maridhiano ndani ya siku 100 za kwanza. Ni ushetani wa hali ya juu sana!Sehemu ya pili
Serikali imepanga kufanya maridhiano. Lakini je imeshafanya tathmini ya kutosha juu ya hayo yalitokea?
Je inataka kufanya maridhiano na nani?
Na wana ccm?
Na CHADEMA?
Na wote waliopoteza ndugu zao kwenye utekaji au maandamano?
Na WATANGANYIKA? as special case?
Na waumini wa dini mbalimbali
Na vyombo vya usalama vyote?..
Yote hayo ni makundi lakini yenye msingi mmoja mkuu wa mwananchi Mtanganyika!
Mafunzo ya kuzingatia
1. Kwa wasanii simameni na wananchi katika nyakati ngumu.. Pesa za wanasiasa sio baba lakini sio nyingi kama za wananchi wanaowafanya muonekane kwa wanasiasa
2. Wanasiasa wa ccm. Msijione kwakuwa mmehodhi maradaka kwa nguvu basi mnaweza kuhodhi ngumu ya uma na hisia wa wananchi
3 . Kwa wafanyabiashara hakuna anayewapangia utashi wa kisiasa lakini mambo mengine fanyeni kwa siri kubwa kwakuwa wateja wetu ni wa vyama vyote
Tamati yangu!
Wasomi waliosimamia mchakato wa uchaguzi wametutia aibu kubwa kama taifa.. Sana wanastahili kuwajibika maramoja kabla ya maridhiano yoyote yale!
Wametanguliza maslahi binafsi na ya wachache kwa muono wa kisiasa na kipindi kifupi cha miaka mitano badala ya picha kubwa ya Tanganyika
Wafaidikaji wa mwisho waliokaa kimya lakini wanaochekelea! Wakandarasi watakaopata kandarasi za kukarabati miundo mbinu yote iliyoharibiwa.. Wanasema kufa kufaana. Ni msimu mwingine wa mavuno
Wenye maumivu makubwa
Kampuni za bima ambazo zitapaswa kuwalipa wote waliokuwa na bima kubwa zinazojumuisha majanga ya moto na ya kibinadamu
Wengine ni wafiwa wote waliopoteza ndugu zao ambao walikuwa tegemewa
Huu ni mwanzo mpya wa yatima na wajane! Ndoto nyingi zilizozimwa na wanasiasa waroho wa madaraka.. Baada ya muda kuna simulizi nyingi za kuumiza sana zitasimuliwa
Je mpaka hapo unaamini katika maridhiano?
Sehemu yoyote isiyo na haki usitegemee amani iwepo, hii nchi ilivyo sasa ndo matokeo ya walichokipanda, na bado kuna mengi tutayashuhudia, ogopa sana raia wakiwa hawana imani tena na Serikali yao, ni hatariMmeshindwa kwenye hili, na Mungu atawashindishwa kwenye maovu yenu mengine pia mnayoyapanga. Damu iliyopotea itawarudia na nyie na kuwaadhibu vikali sana. Mmewachochea vijana wa watu na Sasa, kama kawaida, mnakuja humu na viuchambuzi vyenu uchwara. Naona na Sasa mnakuja kwa Kasi kwenye kupandikiza chuki za kizanzibar na kitanganyika.....Mungu awaangamizie mbali kwa
Wamelipwa nini hao nyoko
Unaweza kuziainisha kinagaubaga haki hizo zilizopotezwa?!!Sehemu yoyote isiyo na haki usitegemee amani iwepo, hii nchi ilivyo sasa ndo matokeo ya walichokipanda, na bado kuna mengi tutayashuhudia, ogopa sana raia wakiwa hawana imani tena na Serikali yao, ni hatari
Yaani nipoteze muda wangu kuainisha vitu ambavyo vipo wazi?!!!, au ukiambiwa haki unaelewa nini??Unaweza kuziainisha kinagaubaga haki hizo zilizopotezwa?!!