Uchambuzi: Yanga bingwa msimu wa 2023- 2024

Uchambuzi: Yanga bingwa msimu wa 2023- 2024

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Habari wana JF,

Kwa soka amapiano lilioonekena Jana Kwa macho ya kiuchambuzi nimeona Yanga akiwa bingwa msimu huu utakaoanza mwezi wa 8, hii timu inatisha.

Yanga wana posess, Mkude anapiga basi za kuhama bara Moja na lingine, Maxi mbape ..

Facts za Yanga kuwa bingwa
although Simba wana kikosi kikali (kizito) kuliko misimu yote ila sioni kubeba ubingwa sababu Simba atapoteza mechi tatu za mikoani.

Mechi za mikoani Simba atakazopoteza

Singida big [emoji93].
Prison.
Azam.
Na droo Kwa Yanga lakini Yanga watashinda mechi 27 kupoteza 1 na draw 2.

NB: No mayele..........no problem.

1688470802253.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Habari wanajf

Kwa soka amapiano lilioonekena Jana Kwa macho ya kiuchambuzi nimeona Yanga akiwa bingwa msimu huu utakaoanza mwezi wa 8 ....hii timu inatisha
Yanga Wana posess, mkude anapiga basi za kuhama bara Moja na lingine ......maxi mbape ..

Facts za Yanga kuwa bingwa
Although Simba Wana kikosi kikali ( kizito ) kuliko misimu yote .....ila sioni kubeba ubingwa ........sababu Simba atapoteza mechi tatu za mikoani

Mechi za mikoani Simba atakazopoteza

Singida big [emoji93]

Prison

Azam
Na droo Kwa Yanga ........lkn Yanga watashinda mechi 27 ....kupoteza 1 na draw 2

NB: No mayele..........no problem View attachment 2696869

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ngoja tuwe wavumilivu tuone wenzetu pia

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Habari wanajf

Kwa soka amapiano lilioonekena Jana Kwa macho ya kiuchambuzi nimeona Yanga akiwa bingwa msimu huu utakaoanza mwezi wa 8 ....hii timu inatisha
Yanga Wana posess, mkude anapiga basi za kuhama bara Moja na lingine ......maxi mbape ..

Facts za Yanga kuwa bingwa
Although Simba Wana kikosi kikali ( kizito ) kuliko misimu yote .....ila sioni kubeba ubingwa ........sababu Simba atapoteza mechi tatu za mikoani

Mechi za mikoani Simba atakazopoteza

Singida big [emoji93]

Prison

Azam
Na droo Kwa Yanga ........lkn Yanga watashinda mechi 27 ....kupoteza 1 na draw 2

NB: No mayele..........no problem View attachment 2696869

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
No Mayele.........no problem.

Good. ✔️
 
Msimu uliopita wa 2022/2023, nilikuja na utabiri wa aina hii hii kwa kuleta uzi humu jukwaani. Na mwishoni mwa msimu Wananchi wakafanya kweli.

I wish na msimu huu pia watachukua ubingwa kwa mara 3 mfululizo.

Kila la heri kwao.
 
Uchambuzi ulifanyika mwaka uliopita 😄😄
 
Back
Top Bottom