Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Baada ya Yanga kuwasha moto sana Kwa vichapo vya 5G Kwa timu nyingi especially makolo, ....... kelele nyingi kutoka Kwa wadau wa soka kuhusu udhamini wa GSM Kwa timu nyingi zikaibuka ......mara Yanga Wana nunua mechi ..,...mara cjui Nini makolo walichanganyikiwa
Ndipo Yanga wakaibuka na Military defensive strategy (MSD).....jifanye unapoteza Ili kuwapa moyo wapinzani wako ( kuwapoteza maboya)......Sasa mbinu imefanya kazi .....nchi imetulia, makolo wanacheka ...it's seems usajili umefanya kazi ....Hadi kina mukwala wanafunga
A few moments to come
Yanga now wamerudi mchezoni 5G zitaanza kusoma Tena ....makolo wataanza kulia na udhamini wa GSM, [emoji91][emoji91] ukoloni wanaenda poteana
NB: Yanga bado ana nafasi ya kubeba ubingwa 99.01%....other factors remain constant