Uchambuzi: Yanga ilishuka viwango kimakusudi

Baada ya Yanga kuwasha moto sana Kwa vichapo vya 5G Kwa timu nyingi especially makolo, ....... kelele nyingi kutoka Kwa wadau wa soka kuhusu udhamini wa GSM Kwa timu nyingi zikaibuka ......mara Yanga Wana nunua mechi ..,...mara cjui Nini makolo walichanganyikiwa

Ndipo Yanga wakaibuka na Military defensive strategy (MSD).....jifanye unapoteza Ili kuwapa moyo wapinzani wako ( kuwapoteza maboya)......Sasa mbinu imefanya kazi .....nchi imetulia, makolo wanacheka ...it's seems usajili umefanya kazi ....Hadi kina mukwala wanafunga

A few moments to come
Yanga now wamerudi mchezoni 5G zitaanza kusoma Tena ....makolo wataanza kulia na udhamini wa GSM, [emoji91][emoji91] ukoloni wanaenda poteana

NB: Yanga bado ana nafasi ya kubeba ubingwa 99.01%....other factors remain constant

View attachment 3183165
Makolo mapuuzi sana wamwambie mohamed nae azamini timu nyingine kuna kipindi timu kama maji maji zilikuwa zinasafiri ndani ya coster wameweka ndoo ya maji ya kunywa halafu wakifika huko wanakoenda wanajipikia wenyewe halafu leo hii mtu anazamini timu inatokea mijitu inaleta maneno ya hovyo tatizo mashabiki wengi wa makolo wameanza kufuatilia mpira kipindi kile manara msemaji wa makolo
 
Hivi ukiwa kaongokaongo unalipwa shilingi ngapi kwa kutwa?
 
Makolo mapuuzi sana wamwambie mohamed nae azamini timu nyingine kuna kipindi timu kama maji maji zilikuwa zinasafiri ndani ya coster wameweka ndoo ya maji ya kunywa halafu wakifika huko wanakoenda wanajipikia wenyewe halafu leo hii mtu anazamini timu inatokea mijitu inaleta maneno ya hovyo tatizo mashabiki wengi wa makolo wameanza kufuatilia mpira kipindi kile manara msemaji wa makolo
Koloz zna roho mbaya mkuu
 
Baada ya Yanga kuwasha moto sana Kwa vichapo vya 5G Kwa timu nyingi especially makolo, ....... kelele nyingi kutoka Kwa wadau wa soka kuhusu udhamini wa GSM Kwa timu nyingi zikaibuka ......mara Yanga Wana nunua mechi ..,...mara cjui Nini makolo walichanganyikiwa

Ndipo Yanga wakaibuka na Military defensive strategy (MSD).....jifanye unapoteza Ili kuwapa moyo wapinzani wako ( kuwapoteza maboya)......Sasa mbinu imefanya kazi .....nchi imetulia, makolo wanacheka ...it's seems usajili umefanya kazi ....Hadi kina mukwala wanafunga

A few moments to come
Yanga now wamerudi mchezoni 5G zitaanza kusoma Tena ....makolo wataanza kulia na udhamini wa GSM, [emoji91][emoji91] ukoloni wanaenda poteana

NB: Yanga bado ana nafasi ya kubeba ubingwa 99.01%....other factors remain constant

View attachment 3183165
Kama wanabisha waje kukupinga hapa.
 
Back
Top Bottom