Uchambuzi: Yanga Ina ubora mkubwa kuliko Taifa Stars

Baada ya kufuatilia Kwa umakini mechi za stars kule AFCON nimegundua yafuatayo

Ingawa taifa stars inaundwa na nyota mbali mbali wakubwa hapa TZ, Africa na across the global ila bado uchezaji wake haufikii club ya Yanga mfano Kwa taifa stars......kadri muda. Unavyokwenda winning spirit is decreasing hii pia ipo Kwa Simba

Lakini hii ni tofauti Kwa Yanga .... kadri muda unavyokwenda.....ndivyo morali ya wachezaji..... inaongezeka Ili kumpiga mpinzani 5G[emoji113]other things remain constant. ie. referees' neutrality

Nini kifanyike
1. Ikiwezekana taifa stars iweke Kambi pale Avici town ...Ili wale course za Yanga
2. Kikosi chote Cha stars kiwe na wanayanga watupu

3. 1 na 2 yote sawa

JamiiForums mobile app
Je Tanzania tuna namba tisa halisia kama hatuna Nini kifanyike zama boko aliweza lkn kwasasa kawa Simba mzee
 
Baada ya kufuatilia Kwa umakini mechi za stars kule AFCON nimegundua yafuatayo

Ingawa taifa stars inaundwa na nyota mbali mbali wakubwa hapa TZ, Africa na across the global ila bado uchezaji wake haufikii club ya Yanga mfano Kwa taifa stars......kadri muda. Unavyokwenda winning spirit is decreasing hii pia ipo Kwa Simba

Lakini hii ni tofauti Kwa Yanga .... kadri muda unavyokwenda.....ndivyo morali ya wachezaji..... inaongezeka Ili kumpiga mpinzani 5G[emoji113]other things remain constant. ie. referees' neutrality

Nini kifanyike
1. Ikiwezekana taifa stars iweke Kambi pale Avici town ...Ili wale course za Yanga
2. Kikosi chote Cha stars kiwe na wanayanga watupu

3. 1 na 2 yote sawa

JamiiForums mobile app
Inabidi kufahamu Yanga haishiriki kwenye michuano anayoshiriki Taifa stars. Huwezi kuwapima.
 
Mbona utopolo mnatofautiana majibu, yaani mlishadanganywa kwamba Avic ni mali ya utopolo?
Pale Avic hata wewe kama una hela yako neda kanunue nyumba yako; bei zao ni nzuri sana. Kama GSM aliwanunulia Yanga zile au alizinunua binafsi ila akawaruhusu Yanga watumie bure kama mfadhili wao, hilo siyo tatizo kabisa
 
Baada ya kufuatilia Kwa umakini mechi za stars kule AFCON nimegundua yafuatayo

Ingawa taifa stars inaundwa na nyota mbali mbali wakubwa hapa TZ, Africa na across the global ila bado uchezaji wake haufikii club ya Yanga mfano Kwa taifa stars......kadri muda. Unavyokwenda winning spirit is decreasing hii pia ipo Kwa Simba

Lakini hii ni tofauti Kwa Yanga .... kadri muda unavyokwenda.....ndivyo morali ya wachezaji..... inaongezeka Ili kumpiga mpinzani 5G[emoji113]other things remain constant. ie. referees' neutrality

Nini kifanyike
1. Ikiwezekana taifa stars iweke Kambi pale Avici town ...Ili wale course za Yanga
2. Kikosi chote Cha stars kiwe na wanayanga watupu

3. 1 na 2 yote sawa

JamiiForums mobile app
Huwa una kaukichaa fulani hivi.Nenda kwa tabibu na muombe akuandikie dawa inaitwa modicate injection.Akikuuliza kwa nini unajichagulia dawa?Mwambie wewe ni chizi-fresh.
 
Pale Avic hata wewe kama una hela yako neda kanunue nyumba yako; bei zao ni nzuri sana. Kama GSM aliwanunulia Yanga zile au alizinunua binafsi ila akawaruhusu Yanga watumie bure kama mfadhili wao, hilo siyo tatizo kabisa
Makolo wapate wap pesa?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom