DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ligi za mchangani
Hakiiika Yanga iko vyedi sanaaa
Je Tanzania tuna namba tisa halisia kama hatuna Nini kifanyike zama boko aliweza lkn kwasasa kawa Simba mzeeBaada ya kufuatilia Kwa umakini mechi za stars kule AFCON nimegundua yafuatayo
Ingawa taifa stars inaundwa na nyota mbali mbali wakubwa hapa TZ, Africa na across the global ila bado uchezaji wake haufikii club ya Yanga mfano Kwa taifa stars......kadri muda. Unavyokwenda winning spirit is decreasing hii pia ipo Kwa Simba
Lakini hii ni tofauti Kwa Yanga .... kadri muda unavyokwenda.....ndivyo morali ya wachezaji..... inaongezeka Ili kumpiga mpinzani 5G[emoji113]other things remain constant. ie. referees' neutrality
Nini kifanyike
1. Ikiwezekana taifa stars iweke Kambi pale Avici town ...Ili wale course za Yanga
2. Kikosi chote Cha stars kiwe na wanayanga watupu
3. 1 na 2 yote sawa
JamiiForums mobile app
Zote zinacheza soccerAkili Yako Haina akili. Una Taifa na club!
Hakuna namna zaidi ya serikali kuwekeza nguvu zote kwenye academy at least Kila kandaJe Tanzania tuna namba tisa halisia kama hatuna Nini kifanyike zama boko aliweza lkn kwasasa kawa Simba mzee
ni utopolo 😁😁😁Mwenye Avic ni nani?
Ilinunuliwa na Yanga; hawalipi tena.
Mbona utopolo mnatofautiana majibu, yaani mlishadanganywa kwamba Avic ni mali ya utopolo?Avic ni ya GSM
Inabidi kufahamu Yanga haishiriki kwenye michuano anayoshiriki Taifa stars. Huwezi kuwapima.Baada ya kufuatilia Kwa umakini mechi za stars kule AFCON nimegundua yafuatayo
Ingawa taifa stars inaundwa na nyota mbali mbali wakubwa hapa TZ, Africa na across the global ila bado uchezaji wake haufikii club ya Yanga mfano Kwa taifa stars......kadri muda. Unavyokwenda winning spirit is decreasing hii pia ipo Kwa Simba
Lakini hii ni tofauti Kwa Yanga .... kadri muda unavyokwenda.....ndivyo morali ya wachezaji..... inaongezeka Ili kumpiga mpinzani 5G[emoji113]other things remain constant. ie. referees' neutrality
Nini kifanyike
1. Ikiwezekana taifa stars iweke Kambi pale Avici town ...Ili wale course za Yanga
2. Kikosi chote Cha stars kiwe na wanayanga watupu
3. 1 na 2 yote sawa
JamiiForums mobile app
Pale Avic hata wewe kama una hela yako neda kanunue nyumba yako; bei zao ni nzuri sana. Kama GSM aliwanunulia Yanga zile au alizinunua binafsi ila akawaruhusu Yanga watumie bure kama mfadhili wao, hilo siyo tatizo kabisaMbona utopolo mnatofautiana majibu, yaani mlishadanganywa kwamba Avic ni mali ya utopolo?
Huwa una kaukichaa fulani hivi.Nenda kwa tabibu na muombe akuandikie dawa inaitwa modicate injection.Akikuuliza kwa nini unajichagulia dawa?Mwambie wewe ni chizi-fresh.Baada ya kufuatilia Kwa umakini mechi za stars kule AFCON nimegundua yafuatayo
Ingawa taifa stars inaundwa na nyota mbali mbali wakubwa hapa TZ, Africa na across the global ila bado uchezaji wake haufikii club ya Yanga mfano Kwa taifa stars......kadri muda. Unavyokwenda winning spirit is decreasing hii pia ipo Kwa Simba
Lakini hii ni tofauti Kwa Yanga .... kadri muda unavyokwenda.....ndivyo morali ya wachezaji..... inaongezeka Ili kumpiga mpinzani 5G[emoji113]other things remain constant. ie. referees' neutrality
Nini kifanyike
1. Ikiwezekana taifa stars iweke Kambi pale Avici town ...Ili wale course za Yanga
2. Kikosi chote Cha stars kiwe na wanayanga watupu
3. 1 na 2 yote sawa
JamiiForums mobile app
Mudi awatengenezee makoloni utopolo [emoji16][emoji16][emoji16]
Mpira ni ule ule..tunapimaInabidi kufahamu Yanga haishiriki kwenye michuano anayoshiriki Taifa stars. Huwezi kuwapima.
Makolo wapate wap pesa?Pale Avic hata wewe kama una hela yako neda kanunue nyumba yako; bei zao ni nzuri sana. Kama GSM aliwanunulia Yanga zile au alizinunua binafsi ila akawaruhusu Yanga watumie bure kama mfadhili wao, hilo siyo tatizo kabisa
Makande ndo Nini mkuuWewe jamaa utakuwa umeshiba makande na juisi ya mapera wakati unaleta huu utumbo.