Uchambuzi: Yanga Kwa Sasa ni next level east Africa

Uchambuzi: Yanga Kwa Sasa ni next level east Africa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
βŠ›....... π™”π˜Όπ™‰π™‚π˜Ό 𝙉𝙄 𝙉𝙀𝙓𝙏 𝙇𝙀𝙑𝙀𝙇

Nimetambua kuwa yanga kwa sasa ni next level kwanini?..

Baada ya weekend hii Simba na yanga kucheza michezo yao ya CAF binafsi nimetambua kuwa yanga ndio nembo ya soka la Tanzania kwasasa

Yanga imeshinda ugenini lakini watu bado wanalalamika kwanini wameshinda goli moja tu ilitakiwa washinde hata goli 5+. Hii maana yake ni kwamba kwasasa yanga ni timu tishio afrika haitegemei kushinda nyumbani tu bali popote pale yanga anakufunga

Baada ya simba kutoa sare ugenini imepokelewa kwa shangwe kubwa utadhani wameshinda hii ni sawa na maiti kapiga chafya [emoji2957]. Hapo ndipo utagundua ipi ni timu kubwa na ndogo na ndio maana wapo kwenye mashindano ya loosers

Aliyeshinda anahuzunika ila aliyekosa anashangilia (masikini akipata .......)

Nb: ukichukia bonyeza unfollow [emoji2957]
JamiiForums-2098022966.jpg
 
Simba SC Hadi yake ni mashindano ya Club bingwa Africa sio hayo yashirikisho ndio maana katoa draw πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….. Simba SC na mashindano ya looser wapi na wapi
 
Simba SC Hadi yake ni mashindano ya Club bingwa Africa sio hayo yashirikisho ndio maana katoa draw [emoji28][emoji28][emoji28].. Simba SC na mashindano ya looser wapi na wapi
Yaah Mkuu....Simba Hadi yake kombe la loser
 
Back
Top Bottom