Uchambuzi: Yanga Kwa Sasa ni next level east Africa

Uchambuzi: Yanga Kwa Sasa ni next level east Africa

⊛....... 𝙔𝘼𝙉𝙂𝘼 𝙉𝙄 𝙉𝙀𝙓𝙏 𝙇𝙀𝙑𝙀𝙇

Nimetambua kuwa yanga kwa sasa ni next level kwanini?..

Baada ya weekend hii Simba na yanga kucheza michezo yao ya CAF binafsi nimetambua kuwa yanga ndio nembo ya soka la Tanzania kwasasa

Yanga imeshinda ugenini lakini watu bado wanalalamika kwanini wameshinda goli moja tu ilitakiwa washinde hata goli 5+. Hii maana yake ni kwamba kwasasa yanga ni timu tishio afrika haitegemei kushinda nyumbani tu bali popote pale yanga anakufunga

Baada ya simba kutoa sare ugenini imepokelewa kwa shangwe kubwa utadhani wameshinda hii ni sawa na maiti kapiga chafya [emoji2957]. Hapo ndipo utagundua ipi ni timu kubwa na ndogo na ndio maana wapo kwenye mashindano ya loosers

Aliyeshinda anahuzunika ila aliyekosa anashangilia (masikini akipata .......)

Nb: ukichukia bonyeza unfollow [emoji2957]View attachment 3098140
Kupigwa kapigwa Manula, wanalalamika wao, kama sio maajabu ya Mussa ni nini!? Au ndiomaandalizi ya kupulizia Sumuni kwenye Dressing room?
 
Back
Top Bottom