Uchambuzi: Yanga na Mamelod kukutana Super cup

Safari bado ndefu sana, japokuwa inawezekana. Al Ahly nawapa nafasi ya kutwaa CAF CHAMPIONS LEAGUE maana katika hatua hizi huwa wanabadilika sana.
 
Kwa wale wote mliowahi kusoma kitabu cha hekaya za Abunuasi,like hapa .
 
Mkuu hiyo mechi inabidi Nabi awe Makini na Peter shalulile na mailula...
Pale mbele akikaa Musonda na fistooooooooni kazi inaisha lazima tushinde super cup
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji169][emoji172]
Ila mamelods ni WA motoo
 
Safari bado ndefu sana, japokuwa inawezekana. Al Ahly nawapa nafasi ya kutwaa CAF CHAMPIONS LEAGUE maana katika hatua hizi huwa wanabadilika sana.
Awapi Mzee....Al ahly nae bado anamuogopa memolods
 
Mkuu samahani kwa usumbufu kama una video ile inayoonesha mechi yenu na rivers wakati inaanza, hivi unaweza ukawaelezea watanzania kwanini mlipiga mpira nje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu samahani kwa usumbufu kama una video ile inayoonesha mechi yenu na rivers wakati inaanza, hivi unaweza ukawaelezea watanzania kwanini mlipiga mpira nje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanga Huwa tuna shindwa kustahimili dk za kwanza

We gain momentum m...As the time increase.,...rejea mechi ya simba

That's y tulitoa nje
 
Huu utabiri wenu unaitia gundu Yanga yetu.
Subirini tuvuke mto ndipo muanze kutukana mamba.
Tukimalizana kwa sare au kwa ushindi na Rivers United FC ndiupo tuanze kuwadharau tuliowapiga na si ambao hatujamalizana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…