Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Hahaa.. hakika hakuna kinachoshindikana. Yanga daima mbele nyuma mwiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda USMA, Rabat ana mlima wa kupanda alipingwa mbili awaysio rahisi kushinda kuna far rabat ndio watakuwa mabingwa
Kwa wale wote mliowahi kusoma kitabu cha hekaya za Abunuasi,like hapa .YANGA NA MAMELOD KUKUTANA SUPER CUP
[emoji3544]Kwa sasa mabingwa wa nchi Yanga na Mabingwa wa Afrika Kusini PSL yaani Mamelod Sundowns hizi ndio timu ambazo zimekuwa na uhakika wa kushinda kwa asilimia 90 katika viwanja vya ugenini na nyumbani.
[emoji3544]Yanga ambao wapo katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC hawakamatiki na Mamelod Sundowns ambao wapo ligi ya Mabingwa Afrika ni moto wa kuotea mbali.
[emoji3544]Kwa aina ya matokeo ambayo wanayapata hadi sasa hizi ndio ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kubeba haya makombe wanayoshiriki.
[emoji3544]Endapo Yanga watabeba kombe la Shirikishi Barani Afrika CAFCC na Mamelod Sundowns wakabeba Ligi ya Mabingwa Barani Afrika CAFCL basi miamba hii ya soka itakutana katika SUPER CUP.
.
[emoji3] wakikomaa wanakutana kweli hawa watu itakuwa balaaahhh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Imepostiwa na @sportskick_
___________________________________
View attachment 2600263
MkandajiKwa kuisakama simba hujambo mameee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dawa yenu KIBU D
Ila mamelods ni WA motooMkuu hiyo mechi inabidi Nabi awe Makini na Peter shalulile na mailula...
Pale mbele akikaa Musonda na fistooooooooni kazi inaisha lazima tushinde super cup
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji169][emoji172]
Yanga Huwa tuna shindwa kustahimili dk za kwanzaMkuu samahani kwa usumbufu kama una video ile inayoonesha mechi yenu na rivers wakati inaanza, hivi unaweza ukawaelezea watanzania kwanini mlipiga mpira nje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]