Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto ya mwendawazimuYANGA NA MAMELOD KUKUTANA SUPER CUP
[emoji3544]Kwa sasa mabingwa wa nchi Yanga na Mabingwa wa Afrika Kusini PSL yaani Mamelod Sundowns hizi ndio timu ambazo zimekuwa na uhakika wa kushinda kwa asilimia 90 katika viwanja vya ugenini na nyumbani.
[emoji3544]Yanga ambao wapo katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC hawakamatiki na Mamelod Sundowns ambao wapo ligi ya Mabingwa Afrika ni moto wa kuotea mbali.
[emoji3544]Kwa aina ya matokeo ambayo wanayapata hadi sasa hizi ndio ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kubeba haya makombe wanayoshiriki.
[emoji3544]Endapo Yanga watabeba kombe la Shirikishi Barani Afrika CAFCC na Mamelod Sundowns wakabeba Ligi ya Mabingwa Barani Afrika CAFCL basi miamba hii ya soka itakutana katika SUPER CUP.
.
[emoji3] wakikomaa wanakutana kweli hawa watu itakuwa balaaahhh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Imepostiwa na @sportskick_
___________________________________
View attachment 2600263
Supa kap ipi hiyo, Unamaanisha ya mwaka kesho bila shaka.YANGA NA MAMELOD KUKUTANA SUPER CUP
[emoji3544]Kwa sasa mabingwa wa nchi Yanga na Mabingwa wa Afrika Kusini PSL yaani Mamelod Sundowns hizi ndio timu ambazo zimekuwa na uhakika wa kushinda kwa asilimia 90 katika viwanja vya ugenini na nyumbani.
[emoji3544]Yanga ambao wapo katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC hawakamatiki na Mamelod Sundowns ambao wapo ligi ya Mabingwa Afrika ni moto wa kuotea mbali.
[emoji3544]Kwa aina ya matokeo ambayo wanayapata hadi sasa hizi ndio ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kubeba haya makombe wanayoshiriki.
[emoji3544]Endapo Yanga watabeba kombe la Shirikishi Barani Afrika CAFCC na Mamelod Sundowns wakabeba Ligi ya Mabingwa Barani Afrika CAFCL basi miamba hii ya soka itakutana katika SUPER CUP.
.
[emoji3] wakikomaa wanakutana kweli hawa watu itakuwa balaaahhh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Imepostiwa na @sportskick_
___________________________________
View attachment 2600263
Uzi umefungwa wazeeSupa kap ipi hiyo, Unamaanisha ya mwaka kesho bila shaka. View attachment 2646870
Poleee wee.Nenda zako[emoji113][emoji113][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilisema !Hizi nyuzi sijui mtazifutaje [emoji23][emoji23]
Hii ni super league sio super cup ingawa huko super cup yanga na mamelod wamepuyangaSupa kap ipi hiyo, Unamaanisha ya mwaka kesho bila shaka. View attachment 2646870