Uchanganuzi wa Matokeo ya ufaulu wa kwenda Chuo Kikuu

Uchanganuzi wa Matokeo ya ufaulu wa kwenda Chuo Kikuu

wenye hizo 4 wataenda chuo maana kama hao wenye D D C ukiconvert unapata E E D unakuta mtu huyo ni PCM halafu wanataka minimum 2.0 kutoka kwenye guide book ya tcu 2014/2015 kwahiyo wale madogo wa D D D watakuwa wanacheka tu sasa hivi maana najua matokeo yalivyotoka walishakuwa na presha
 
It is true that prinsiple pass is A-D,lakini kwa wanaoenda chuo kikuu prinsiple pass ni A-C,D inasaidia kwa d.3 ya CCD
 
It is true that prinsiple pass is A-D,lakini kwa wanaoenda chuo kikuu prinsiple pass ni A-C,D inasaidia kwa d.3 ya CCD

Mkuu mbona wanawazibia madogo big results yao mchanganuo upo kwenye tcu guide book ya 2014/2015 wameka kabisa sifa za waombaji ni wenye principal passes kuanzia A-D na wameweka convert yake kabisa acha kudanganya watu kasome tcu guide book aiseeee
 
Back
Top Bottom