wenye hizo 4 wataenda chuo maana kama hao wenye D D C ukiconvert unapata E E D unakuta mtu huyo ni PCM halafu wanataka minimum 2.0 kutoka kwenye guide book ya tcu 2014/2015 kwahiyo wale madogo wa D D D watakuwa wanacheka tu sasa hivi maana najua matokeo yalivyotoka walishakuwa na presha
Mkuu mbona wanawazibia madogo big results yao mchanganuo upo kwenye tcu guide book ya 2014/2015 wameka kabisa sifa za waombaji ni wenye principal passes kuanzia A-D na wameweka convert yake kabisa acha kudanganya watu kasome tcu guide book aiseeee